Recent content by Seleina Tikili

  1. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

    Gen-z tunapita nao maana tuna mioto ya hatari ila hatuwaoi
  2. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

    mm najua wenye nyash niwakuchezea nakupita zangu kwa mda huu bado damu inachemka kwa fujo.ila ntakapooa navuta demu mwenye tabia nzur tutakayesaidiana kwenye utaftaji.
  3. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

    nyash plus
  4. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wenzangu.

    Jarib unawez pata mzuri.
  5. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wenzangu.

    Usisikilize ambao ndoa imewapiga chenga.watakushawishi usioe kwa kuwa ndoa ngumu na utateseka. kiukwel ndoa n nzur nainategemea na bahat unaweza pata mzuri au m baya. ila kiukwel tusiige kwa...
  6. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ni shujaa!

    Hakuna aliye dhaifu sote ni wenye nguvu na washindi.Wengi wanakukatisha tamaa kwenye safar yetu ya upambanaj. usitege sikio wala kuwasikiliza wapuzilie mbali maana ukiwasikiliza utajikuta umepoteza. umuweke mungu mbele kwenye kila ufanyalo.usikate tamaa maana ww n shujaa usiyeshindwa.
  7. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

    Vp huyu ba mjengo yupo kwanz maan post nying umetaja
  8. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania HUYU MCHAGA NI LEVEL YA JUU SANA.

    Mabiashara meng ni ya kwetu.
  9. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Nambona kwenye bibilia yakobo alimwoa binamu yake rebecca na ndoa yao ilibarikiwa
  10. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Uchagan hizo ndoa zimejaa kibao ila uhusiano kidam n mbal kidogo.
  11. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Ila ndoa baina ya wanaukoo nimeiona mkuu
  12. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Ila binamu upande wa baba hapo napaheshimu ila upande wa mama napita nao vibaya ila kuwaoa no
  13. Seleina Tikili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Ndoa za binamu sijaziona ila ndoa za wanaukoo nmeziona
  14. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toka nioe sijawahi fikisha wiki moja bila kudumbukiza nahisi kupungua uzito

  15. Seleina Tikili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toka nioe sijawahi fikisha wiki moja bila kudumbukiza nahisi kupungua uzito

    ingawa sijaoa ila nna demu ila naye ananibania sana ata saa zingine najikut nimeenda buza kwa taalam kupunguza mzg
Back
Top Bottom