Recent content by Sele Mkonje

  1. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Tatizo sitaki kumiss soapies za Mzansi. Halafu Natumia DSTV easy view ambayo nalipia R30 kwa mwezi yani kama TSHS 4000 hivi
  2. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Yani namaanisha naweza nikatoka na king'amuzi changu ninachotumia huku kikafanya kazi nikifika huko.? Kama wanavyofanya watanzania wanaotumia ving'amuzi vya Azam Tv nchini Afrika ya Kusini
  3. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Habari wakuu, Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
  4. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

    Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
  5. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

    Alikiba na harmonise
  6. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

    Ipo namba ngapi.?
  7. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Ya "Unikome" na Idris yashapita: Rosa Ree kacheza X uchi ngoma yake mpya

    Huyu dem huwa simpendi balaa
  8. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge ahamia WASAFI FM akitokea EFM

    Ila sijui kwanini mpaka leo wasafi fm hawapo online.? Kama wapo naomba link tafadhali
  9. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo jua litazima/ litapotea?

  10. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo jua litazima/ litapotea?

    Jibu lake nakuletea soon baada ya uchambuzi na utafiti wa muda mrefu 🤓
  11. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Serikali inajua kuwa ina raia Afrika Kusini?

    Sijui kama balozi wa Tanzania alihudhuria huu mkutano wa leo huko SA
  12. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Msiba Wa Ruge Vs Kanumba

    Msiba wa majuto ndo ulikuwa mkubwa
  13. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Zamaradi ataja ujio wa filamu yake aliyoiandaa kwa Milioni 200

    Nimeona trailer na alieharibu si mwingine ni mwanadada wema. Ameharibu sana yani bora hata asingekuwepo.
  14. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Nakumbuka wakati mzee anahamia Tabora mwaka 1999 Tv yetu ilikuwa inaonesha chenga tu hakukuwa na Itv kule sasa ikabidi tuwaulize wenyeji wa pale kuwa wanaangaliaga wapi Tausi? Kuna kijana mmoja akasema kesho twendeni niwapeleke,basi si akatupeleka Pale Game park kuangalia Tausi ndege na sio...
Back
Top Bottom