Recent content by selasini

  1. selasini

    Faida za tunda la ukwaju

    Inaongeza nguvu za kiume mkuu
  2. selasini

    Between your legs!

    Paka--between ya egs Zero.....betwern ya legs
  3. selasini

    Tahadhari Kwa Wezi Wa Simu Mtaani!!!

    Mbona icho kitu cha kawaida sana hata note 3,s4,s5 na android nyngne nying znauwezo huo ni swala la setting wengi hawajui jinsi ya kuset
  4. selasini

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    Saut ina sheria zake na mithan inafanyka sku yyte ile aijalish ni jpl au la? Na ipo direct kwene bylaw na unapewa by law wakati u ajisajirkama. Kama hukubaliani na yaliomo unasepa mapema lkn kma walishasain kukubaliana na izo by law kwamba watazifuata hapo nan wa kulaumiwa? Kama wameonewa waende...
  5. selasini

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    Katika by LAW zaSAUT zote zinaonesha wazi kuwa mitihan na masomo ni sku yyte ile;haeana jmos wal jpli, kwa hiyo hata ukifukuzwa huwez kujitetea kwa sabab by law inakufunga! Kwa hiyo hapo walikuwa na mawili either kuichagua sabato na kuacha pepa! Siwalaumu labda walikuwa hawajui hilo lkn kila...
  6. selasini

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    He is a gud advocate ever
  7. selasini

    Alichokisema mugabe kwa obama!?

    Hongera sana Mugabe uishi maisha marefu
  8. selasini

    Alichokisema mugabe kwa obama!?

    Habari zennu wakuu hii nimeisoma kwene mtandao mmoja wa kijamii ivi ni kweeli mugabe amesema haya maneno>? ""If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe, I should marry him first to show the good"
  9. selasini

    Tofauti ya NDOA na HARUSI (Soma hapa ili usijute ukioa/kuolewa)

    Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna Ndoa na kuna Harusi...Wengi mnapenda zaidi harusi, na mnapowaza Ndoa picha inayowajia ni Suti kali, Boonge la Shela kutoka Uturuki, Make Up ya ukweli...
  10. selasini

    Jessam Nyato ateuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya chuo kikuu cha sayansi na tiba cha mt. Fransis

    Poa mkuu mi shule npiga sikatai ushauri wako ila na habar zna umuhm wake mkuu thnx
Back
Top Bottom