Usikalili mkuu kwamba course flani ndyoo zina fulsa zaid ataa zngne zina fursa sana tuu huzijui kwa kua hujasoma hyoo course mfano environmental engineering kuna mradi gani wa ujenzi unafanyika bila kuwa na safety officer ambao kwa asilimia kubwa ni environmental engineers?? Na syoo tu hvyoo...
Sijajua kwa nini ulicheka but if wewe ni professional jua kila mtu anasoma kitu sahihi na anachokipenda kwa kua kazi ntazofanya mimi wewe huwez kufanya mfano mimi advance nimesoma pcm na nna matokeo mazur nimesoma hyoo course environmental engineering na nna kazi ya private teyari, kwa sasa...
Ajari ya salome mbatia dereva wake alikua baba yangu mzazi roli lilihama njia likawafata unasemaje uzembe wa dereva? Harafu baba yangu alikua anamwendesha kwa gari binafsi syoo la serikali.
Syoo kweli aliekua anamuendesha huyo mama ni baba yangu mzazi na alikua hatumii magari ya uma ilikua gari binafsi akumsajili kama dereva wake wa kiserikali ile ajari kosa la mtu wa roli aliacha njia.
Daah ww zero kabisa hizo ndyoo zinakua kwa kasi kama hyoo Telecommunications Engineering huoni wanavyolalamika wahitimu wake harafu environmental engineering huijui babu siwez bishana na ww mm kama mm nipoo kwenye company inayofanya installation na kudesign firefighting system nachora michoro...
Yaan hapo kuwa graduate engineer kuwa professional siyoo rahis ufanye project za kutosha usimamiwe na watu ambao ni professional then watakuacess inachkua ata miaka 10 kuwa professional baada ya kumalza chuo au usiwe kabsaa maisha yako yote.
Huijui mm ni environmental engineer nawork kwenye company ambazo zinajihusisha na installation,design and maintenance of firefighting system,air conditioning na data centre na nakimbza fresh nnauwezo wa kuchora michoro through autocad kuprovide design ya hizo kaz na mengne mengi cause also I...
Mm nazungumzia environmental engineering syoo environmental as environmental hv kaka mfano maji syoo muhimu uzibit wa taka je na athari zote za mzngira usiongee if huna kichwa mkuu.
Ina kazi nyingi unaweza kuwa engineer wa maji ukadesign visima ukadesign system za mabomba ya maji, tunaweza kufanya water treatment ya maji kuna a lot of approach hapo huwz kuzijua tunadesign mabwawa ya maji tunafanya construction za mijengo as civil japo tuna concept chache ilaa ata structure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.