International Drug Dealers, hata wakiwa "well organized " wanaweza wasifanikiwe kutekeleza Malengo yao endapo tu, watumishi wa Idara, taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi, wanaofanya kazi Airport na kwingineko, watakuwa na uhusiano na ushirikiano mzuri, ikiwemo na nia ya dhati ya kukomesha...