RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,444
Kwa hiyo hizo kilo 150 wanazodai zimekamatwa S.A hapo JNIA hamkuziona?????!!! Are you kidding me??!!!
Je kuna uhakika kuwa hayo madawa yalipita hapo airport..????? au kwa vile mhusika anatoka Tanzania. je kama dili lilianzia nchi zingine yeye Masogange ni mtekelezaji wa hayo madawa huko S.A