Recent content by Segito wa Kalenga

  1. Segito wa Kalenga

    Je, prem number ya wanafunzi darasa la pili kwenye shule ya English Medium ambayo bado haijakamilisha usajili zina kubalika kisheria?

    Wakuu u taratibu wa kupata PREM number mpya kwa mtoto ambae hana kabisaaa yani alietoka nje ya nchi ukoje? Maana nimekwama apo
  2. Segito wa Kalenga

    Ndugu wawili kunyongwa kwa mauaji ya kikatili

    Mtu anajiita Mgararizi?maana yake ni mtu alieshindikana kwa ujeuri na tabia zote mbovu.kazi ipo kwa vijana.nyie marijali,mke wa mtu sumu jamani achaneni nao.mbona masingo ni wengi tu na mmeongezewa mpaka machoko.tafuteni wa kwenu Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  3. Segito wa Kalenga

    Angel Benard aolewa mara ya pili

    Shaboka uyu uyu aposto au yupi?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
  4. Segito wa Kalenga

    Wasichana wa kazi wa Malawi wateka nafasi za kazi za ndani Tanzania

    Second you. hawa kina Mulibwanji wanafanya kazi kama mashine na hela wanayolipwa hata sio kubwa.
  5. Segito wa Kalenga

    Bendera ya Zumaridi

    mbona kama zile movie za mazombie live live??🙆🙆🙆🙆
  6. Segito wa Kalenga

    Ili kuitumia vizuri fursa iliyotolewa na Kenyatta inabidi taratibu za kupata passport zirahisishwe

    Wale wenzio hawana muda wa kupigishana kelele.anabeba kibahasha chake ndani kuna hela nzuri ya kumlainisha ofisa uhamiaji.Mchezo umekwisha
  7. Segito wa Kalenga

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Huyo huyo.Ilikua Zainabs sio Tawaqal.Unaambiwa basi lilikatika paa kwa juu,Paa likawa linarudi nyuma linakata vichwa vya watu.Giriki???Yule alipaswa kunyongwa kabisa
  8. Segito wa Kalenga

    Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

    Binafsi simpendi Jiwe na ule mbichwa wake kama ndoo ila kwa hili la masheikh nadhani mnamuonea.Wale walikamatwa na ndugu zao wenyewe uongozi wa Sheyin na Kikuwete.Hebu mpumzisheni kidogo mzee wa Chattle
  9. Segito wa Kalenga

    Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Hakuna kampuni inayolipa moja kwa moja kwa mtu.Ila nilipoenda NMB kutoa taarifa kwamba mteja wao amefariki nilipewa pole milion moja.Ndio yote tulitumia kujisogeza wakati Tunasubiri mirathi itoka nayo tulikamilisha kila kitu ila ikachukua mwaka mzima kutoka
  10. Segito wa Kalenga

    Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Mzee baba huko hazina ndipo kwenye shida.mara nyingi Bank hutoa check mapema na kuzipeleka hazina.Sasa kasheshe ni cheki kutoka hazina kurudi mahakamani.Haloo ni mwendo wa nenda rudi kesho.mara hazijasainiwa.mara hazionekani.zikionekana utaambiwa njoo wiki ijayo tena kwa maneno matamu wale watu...
  11. Segito wa Kalenga

    Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Kwa mujibu wa sheria,kama marehemu aliacha pesa hamuwezi kugewa moja kwa moja.ni lazima ufungue shauri la mirathi mahakama ya mwanzo.baada ya hapo atapewa barua msimamizi wa mirathi aipeleke benk au kampuni ya simu.Akishapeleka pesa zote zitapelekwa bank kuu.Kutoka kule ndio zitarudishwa...
Back
Top Bottom