Recent content by segere

  1. segere

    JamiiForums Tanzania Kuna kijana nimemuonya mara mbili aache kuhatarisha mahusiano yangu hasikii, nimfanye nini?

    .mie naona mfanyie vyote tu katika hivyo unavyoweza.
  2. segere

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kama unapendwa kweli ugua

    .mwanamke ni mwanamke, wanachotofautiana ni ile pointi ya kuanza kwa uchoyo na unafiki, kuna wale uchoyo umekaa peupe na kuna wale uchoyo umejificha ndani kidogo..
  3. segere

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Sawa watoto ndo mmeboresha hali ya nyumbani, lakini huo umiliki wa mali za hapo nyumbani upo kwa Mama au mligawana watoto baada ya Mzee kufariki?, manake bi mkubwa asije pelekewa moto mpaka akajikuta anahamisha umiliki wa mali kwenda kwa Mzee mvamizi, binafsi hilo jambo la mvamizi kuingia boma...
  4. segere

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    .mke sio ndugu yako na pia shemejio sio ndugu yako, kwa sasa wajibu wako ni kuhakikisha watoto waliopo wanaendelea kuwa na afya tele wakikua na kuongezeka maarifa,miaka mitano si mingi mpaka kaka yako atoke, jitahidi kumtendea vyema yeye ambaye ndo ndugu yako haswaaaaa!!!!!..pili kama mkeo...
  5. segere

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Ngoja ufe ndo utajua unatokaje, ninyi ndo yale makundi ya watu mnaamini kuteseka na kutaabika ni mipango ya Mungu, hata hivyo pamoja na elimu na maarifa mengi uliyonayo kuna kitu kimepungua kwako ni kwamba "WEWE HUJIPENDI" na hujawahi jikubali.
  6. segere

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

    .siku akikujibu unipe taarifa Mkuu manake mpaka naandika hapa huyu ndugu yetu hakuwa ametoa majibu ya maswali yako ambayo ni yetu pia, kuna swali moja hapo umemuuliza akijibu tu ntakuja kutapika maushauri yangu..
  7. segere

    JamiiForums Tanzania Ukitaka furaha ya kupendwa, uwe na hela, toka na vitoto vya miaka 20-23

    Sababu ni ndogo tu, wapo wengi kuliko makundi mengine.
  8. segere

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Hamna kitu hapo Mkuu, huko ni kujazana upepo tu, ndoa imara na yenye upendo hujengwa na uwepo wa pesa tu. Hayo mengine ni ujinga mnaojazana huko kwenye mafundisho yenu, tafuteni pesa kwanza.
  9. segere

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

    Wakati mwingine uwe unaficha ujinga wako mkuu, ni nzuri kwa afya ya ubongo wako.
  10. segere

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni vyama vya Upinzani tu kushinda?

    Sio nchi za Africa tu ni Dunia nzima..
  11. segere

    JamiiForums Tanzania Hotuba yake ya jana Tundu Lissu alijimaliza mwenyewe, Urais asahau!

    Ulisikia wapi?
  12. segere

    JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

    Penzi jipya..
  13. segere

    JamiiForums Tanzania Coronavirus found in men's semen

    Eti eeh " atafute wa kumlaumu" huenda akapata ahueni Sent using Jamii Forums mobile app
  14. segere

    JamiiForums Tanzania Ukifanya haya, you’ll hurt her so bad

    Sio wanaume wengi ni "WANAUME WOTE" hatuliwezi, jambo hilo wanawake tu ndo huweza. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. segere

    JamiiForums Tanzania Nimezaa nae lakini namuogopa! niko njiapanda

    Ni mchaga? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom