Nimezaa nae lakini namuogopa! niko njiapanda

Shukurani sana mkuu
Mkuu pole sana. Kama leo mko na mtoto moja na hali iko hivyo ila mbeleni utakuja kulia sana. Wanawake wana stage tatu katika maisha ya ndoa.
Ukiona unakaa na mtu ambaye ukiwa uchi unakosa amani jua huyo si mke au mme wako.
Ninachokushauri amani ya moyo wako iyamuwe, ukiendelea kutesa moyo wako hutakuwa na ufanisi wowote katika mambo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja aone kuwa umemuongelea huku atakutia makofi.

Ongea naye mkuu kuhusu hali halisi ya maisha na changamoto zake na uoneshe kuna vitu avifanyavyo unachukizwa navyo .

Vilevile umpe muda namna ya kuona anabadilika katika hali upendayo.

Ikishindikana fanya lililo ndani ya uwezo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money makes a man, but love is a hustle... you know who you love but don’t know who loves you.

Fid Q.
 
Mkuu vingine sisemi Nampenda mno.... Chuo nimelipa mpaka ada aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app

Kosa limeanzia hapo, kumlipia ada ulichukua nafasi ya baba’ke... hivyo kuishi naye kwa sasa ni kama unajilipa tu.

Huenda kuna anayempenda zaidi, yupo nawe kukulipa fadhila tu... lina muda hili atakuchana tu.

Huenda hana uhuru nawe anajihisi mtumwa wako, na hiyo kuchelewa kuzaa tena inabidi uwe na uhakika na sababu zake.

Kila la kheri.
 
Ohoooo No No Nooo Noooo...

Asikudanganye mtu, maisha mazuri sio hakikisho la Furaha na Amani maishani mwa mwanadamu.

IPO ivi ,watu wengi wanahisigi wakifikia hatua kubwa ya maisha basi watakua nafuraha, matokeo yake wamekua kua na maisha yasokua na furaha ndani yake.na ikitokea hawajayafikia basi huishia kujichukia mpaka basi.

ikiwa utashindwa kua na Furaha katika kile kidogo chako unachokimiliki mwenyewe na Unachokitolea jasho, Basi hata itokee siku ukawa Mo Dewj wa kike , huwezi kua na Furaha sababu Hukujifunza kutengeneza Furaha kutokea kwenye ncha za vidole vyako.

Watu huanzia walivyo navyo, nakupanda nakupanda mpaka kua wakubwa........

Hiyo inamaana gani??. Maishani mwetu lazima tujifunze kutumia vidogo tulivyo navyo kupiga hatua, maishani kwetu ni lazima tujifunze KUVITHAMINI , KUVIPENDA, NA KUVIJALI TULIVYO NAVYO NANKUVIFANYA KAMA MSINGI WA HATUA YA KWANZA ILI KUFIKIA PALE TUNAPOPATAKA .

Yaan sijui umenielewa, ipo hivi hamna mwanadamu atakuja kuyafanya maisha yako uyapende kama mwenyewe unayachukia.

Yachukie maisha katika jicho la kuyafutilia mbali kwa jasho, damu, na maumivu... Usiyachukie maisha ktk jicho la kuyakubali .
Eti hapendi maisha magumu, we unapenda? Mimi pia sipendi kwa kweli, ningepewa nafasi ya kuchagua aina ya maisha hakika nisingechagua haya niliyonayo...nayachukia kupita maelezo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli hakuna mtu anaependa maisha magumu, ila ni kuvumiliana tu, hakuna mwanandamu anaependa shida.

Ila hizo tabia zake nyingine za kiduwanzi kama hawezi kubadilika achia ngazi mzee.
 
Mkuu bora pengo kuliko jino bovu,hii haihitaji kusikia upande wa pili maana wewe ndo muoaji na ndo mwenye maamuzi,kama mzazi mwenzako hakidhi viwango unavyovitaka/ ulivyokuwa unategemea wewe, sidhani kama ni busara zaidi kuwa naye kama mwandani wako.

,tatizo la vijana wengi wao wanapopenda hata kama watagundua wenza wao wana mapungufu huwa hawajali wakiwa na matarajio ya kuwabadilisha,lakini huu ni uongo ,tabia ya mtu haibadiliki

Mwisho wewe ndo mwenye kisu,hivyo ni wajibu wako kuamua ukate au usikate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoooo No No Nooo Noooo...

Asikudanganye mtu, maisha mazuri sio hakikisho la Furaha na Amani maishani mwa mwanadamu.

IPO ivi ,watu wengi wanahisigi wakifikia hatua kubwa ya maisha basi watakua nafuraha, matokeo yake wamekua kua na maisha yasokua na furaha ndani yake.na ikitokea hawajayafikia basi huishia kujichukia mpaka basi.

ikiwa utashindwa kua na Furaha katika kile kidogo chako unachokimiliki mwenyewe na Unachokitolea jasho, Basi hata itokee siku ukawa Mo Dewj wa kike , huwezi kua na Furaha sababu Hukujifunza kutengeneza Furaha kutokea kwenye ncha za vidole vyako.

Watu huanzia walivyo navyo, nakupanda nakupanda mpaka kua wakubwa........

Hiyo inamaana gani??. Maishani mwetu lazima tujifunze kutumia vidogo tulivyo navyo kupiga hatua, maishani kwetu ni lazima tujifunze KUVITHAMINI , KUVIPENDA, NA KUVIJALI TULIVYO NAVYO NANKUVIFANYA KAMA MSINGI WA HATUA YA KWANZA ILI KUFIKIA PALE TUNAPOPATAKA .

Yaan sijui umenielewa, ipo hivi hamna mwanadamu atakuja kuyafanya maisha yako uyapende kama mwenyewe unayachukia.

Yachukie maisha katika jicho la kuyafutilia mbali kwa jasho, damu, na maumivu... Usiyachukie maisha ktk jicho la kuyakubali .

Sent using Jamii Forums mobile app
Yachukie maisha katika jicho la kuyafutilia mbali kwa jasho, damu, na maumivu... Usiyachukie maisha ktk jicho la kuyakubali .

Sijui kama nimekuelewa ila hiki hasa ndicho nilichomaanisha hayo yote uliyoandika sijui umeyatoa wapi maana sijayasema hata. Huyo mtoa mada amesema mwanamke wake hapendi maisha magumu...bila shaka hakuna binadamu hapa duniani anayependa maisha magumu ndio maana kila mtu anapambana na kupigana atoke kwenye maisha magumu aende kwenye maisha ambayo yana afadhali. Whether ana furaha na amani au hana furaha na maisha aliyonayo hilo ni suala lingine kabisa na mimi hata sijasema lolote kuhusu hilo

Ohooo labda Mimi ndo sijaelewa mantiki yawewe kuyachukia maisha kiasi cha kupitiliza !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom