Ukigundua mwanamke aliwai kukupenda iwe sana or kawaida
Na at a point mkaachana kwa sababu mbalimbali either
1. Aliona anakupenda ndio ila huna future
2. Alikuacha tuu kwa ego na tama zake
3. She made u suffer
Get mad but dont do her bad fanya haya nakuahidi utakua umemuumiza vibaya mno
1. Be humble usimtukane usimlipizie..make her feel guilty kua yeye ndo chanzo cha kuachnaa kwenu
2. Endelea kuwasiliana nae ila kwa yeye akianzisha mawasiliano usinune wala kumjibu vibaya but hakikisha unakataa chochote anachokuvuta kwake mrudiane. Hata akija na chupi kwako kataa kusex nae, hatoamini
3.Kua positive na chochote atakachohitaj ila usimpe.anaweza omba msada mpe promise tuu ila usitimize
4. Akikumiss mwambie nawee umemmiss ila huwezi kua nae sababu una furaha kwingine
5. Na mengne mengi siwezi outline hapa
Nmefanya haya kwa wanawake wa3 wa maisha yangu ambao tho tulipendana ila tuliachana due to circumstances
Huwez amini wengine wameolewa ila hadi leo they blame me for being so fucking tormenting. Niko kwenye position hadi ya ku decide nifanye nini juu yao na wanakubali.
They adore me like crazy I can even **** them but bado lengo liko pale pale hurting them so bad huyo mke wa mtu sometime anaasafiri kikazi anakuja lala kwangu week siku 3 nilivyo mshenzi namlaza chumba cha wageni.
Do this my brother mwanamke hapigwi wala hatukanwo wala hateswi physicaly