Recent content by segela

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Sabato huwa halitaki mwanasiasa asimame madhabahuni kuhubiri.Mchungaji wa Kurasini aliyemkaribishe Heche afukuzwe kazi

    Unapo mkaribisha mtu kuongea haiwezi kumpangia aongee hadi wapi na nini hasiongee, lkn hapo hapo kwaya za madhebu yasiyo ya kisabato zimeruhusiwa kuimba na kucheza madhabahuni ambao sio utaratibu wa wasabato kwani iwe nongwa kwa muumini wa kanisa hilo ambae ni mwanasiasa nae kutoka ujumbe wake?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Sabato huwa halitaki mwanasiasa asimame madhabahuni kuhubiri.Mchungaji wa Kurasini aliyemkaribishe Heche afukuzwe kazi

    Yeye ni muumini wa kanisa la wasabato anapopata nafasi ya kuongea na waumini wenzie wewe unapingaje?
  3. S

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No REFORM NO ELECTION
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM Kalenga Yanunuliwa

    Kipindi Cha mavuno hao 70 Kama ishirini wakatoa Kama huyo mjumbe ataondoka na 2m hii Safi lkn wa kuchaguliwa Ni mmoja tu wajue hilo
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Iramba hakika ni kumi yatosha!

    Hii inafaa iwe Ni kwa nchi nzima wabunge wanatudharau Sana wakati kura tunawapigia sisi
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Kama watanzania wa vyama vyote tungekuwa na Nia njema ya kuleta maendeleo ya nchi yetu Hawa wabunge ambao wamekaa bungeni zaidi ya miaka kumi tungewakataa katika uchaguzi huu. Haiwezekani mtu anakuwa Mbunge Hadi miaka ishirini na bado tu anautaka ubunge Tena utadhani Jimbo Hilo ni yeye tu mwenye...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Marekani: Maxence Melo apata tuzo ya 'International Press Freedom' kutoka The Committee to Protect Journalists (CPJ

    Hongera zake anastahili kupata hiyo tuzo inatia moyo wa kuendelea kupambana hiyo ni historia inaandikwa, lakini pia niulize hizi tuzo ukipewa zinakuwepo na hela pia unapewa?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Kikundi kinachotekeleza mauaji kinatoka CHADEMA chini ya G. Lema. Ningemfunga Mbowe miaka 200

    Huyo kijana asiwaumize watu vichwa hata kama tumbo linasumbua sio kwa mtindo huu, huyu dogo alikuwa miongoni mwa vijana waliokuwa wajinga drs na hata hill drs la saba alifeli na majina yake ni maagi mlaga msiba hayo kina Cyprian sijui hata kayapatia wapi, maisha yenyewe nyumbani kwao tu ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Polisi Moshi yazuia jeneza la mwili wa Ndesamburo kupitishwa barabarani

    Nashauri chama nitumie helkopta ipitie mitaa yote ya mji wa moshi ili watu wapate hata furusa ya kupungiia mkono tu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Askari wetu hasa polisi wameathirika kisaikolojia

    Walizoea kupata vya bure bure sasa mkuu ameinyoosha nchi kazi ya uasikali haifai sio wale tena waliozoea kurudi na chochote nyumbani kila siku kama anaona anadharaulika aiache kazi, kazi zipo nyingi hata kufuga hata umbwa wote wanauzwa hapa mjini
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki: Daktari Mkuu Morogoro akumbwa, ni msomi toka Urusi aliyekaribia kustaafu

    Kazibwa mdomo yeye kwanza, anatamani kuingia aogelee lkn kina cha maji kirefu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Boeing Airplanes kupitia account yao ya twitter mpaka sasa hawajajibu tweet hii ya Zitto

    Wewe ufai hata kuwa mtoto wa hapo wazazi wako walio waafrika kwa maana unataka kumkosoa hata Mungu aliyekuumba mwafrika kwa sababu ya mapenzi yako ya siasa tu za kitoto unatukana kuumbwa mwafrika Mungu na akushughulikie Na unadhani kuwa mweusi ndo kuwa mwafrika wako wazungu ni waafrika nao...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ulanga amjibu Mh. Mbowe kuhusu CCM kutumia Miujiza

    Kosa ni hao wananchi waliomchagua huyu kijana asiye na hata chembe ya ufaham hajuwagi chochote nina wasiwasi na malezi aliyopata, walisoma nae watuletee tabia yake akiwa shule chuo marafiki zake walikuwa watu wa namna gani? He alikuwa analala chumba kimoja na nani tabia yake huyo ikoje maana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Serikali ijayo ikawa hivi..je nchi itakuwaje Kimaendeleo?

    Mwigulu afadhali kwa sababu anajidai ni mzalendo namba moja kuliko mtanzania yoyote ila hao wengine ni wanafiki na watu wanaotumia matumbo yao kufikiri siwaungi mkono kwa lolote hawafai hata kuwa viongozi wa Nyumba kumi (ten cell leader)
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

    Hivi mh ndugai ile hoja yake ya dini na hapa inahusika au? Nawaza tu wadau
Back
Top Bottom