Mbunge wa Ulanga amjibu Mh. Mbowe kuhusu CCM kutumia Miujiza

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
hqdefault.jpg

Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga amemjibu Mbowe kuwa CCM haitumii miujiza kutawala bali inatumia mpango mkakati kutekeleza ilani yake.

Vile vile ameeleza kuwa ni Mbowe ndiye mwenye kutumia miujiza kuongoza chama kwani amepata division sifuri form six lakini anatawala wafuasi wenye elimu za juu wakiwamo madaktari na maprofesa
 
CCM ina hazina ya wabunge mbumbumbu na mmoja wao ni huyu Mlinga, kila nikimsikia bungeni humo ni mipasho tu labda ndiyo wale Ndugai anasema siyo rizki !!

Huhitaji hata mtoto wa chekechea kupima uwezo mdogo wa Mlinga hachangii chochote bungeni isipokuwa mipasho. Na kwa CCM huo ni mtaji
 
KUPATA ZERO SIYO SABABU YA YEYE KUTOWAONGOZA WENGINE, TATIZO NI KAMA ANADANGANYA KWENYE VYETI VYAKE KAMA HAJAPATA HIYO ZERO.
 
hqdefault.jpg

Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga amemjibu Mbowe kuwa CCM haitumii miujiza kutawala bali inatumia mpango mkakati kutekeleza ilani yake.

Vile vile ameeleza kuwa ni Mbowe ndiye mwenye kutumia miujiza kuongoza chama kwani amepata division sifuri form six lakini anatawala wafuasi wenye elimu za juu wakiwamo madaktari na maprofesa
Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga,alipata division gani form four?
 
CCM ina hazina ya wabunge mbumbumbu na mmoja wao ni huyu Mlinga, kila nikimsikia bungeni humo ni mipasho tu labda ndiyo wale Ndugai anasema siyo rizki !!

Huhitaji hata mtoto wa chekechea kupima uwezo mdogo wa Mlinga hachangii chochote bungeni isipokuwa mipasho. Na kwa CCM huo ni mtaji
Mbunge si riziki ni Nasari kwani anataka kuligeuza bunge kilabu cha gongo.
 
Kosa ni hao wananchi waliomchagua huyu kijana asiye na hata chembe ya ufaham hajuwagi chochote nina wasiwasi na malezi aliyopata, walisoma nae watuletee tabia yake akiwa shule chuo marafiki zake walikuwa watu wa namna gani? He alikuwa analala chumba kimoja na nani tabia yake huyo ikoje maana nina mashaka sana na huyu kijana
 
hqdefault.jpg

Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga amemjibu Mbowe kuwa CCM haitumii miujiza kutawala bali inatumia mpango mkakati kutekeleza ilani yake.

Vile vile ameeleza kuwa ni Mbowe ndiye mwenye kutumia miujiza kuongoza chama kwani amepata division sifuri form six lakini anatawala wafuasi wenye elimu za juu wakiwamo madaktari na maprofesa
Yeye alipata division ngapi? Ngoja nimtafute gwajiman na mangegal wafanye the needful
 
CCM ina hazina ya wabunge mbumbumbu na mmoja wao ni huyu Mlinga, kila nikimsikia bungeni humo ni mipasho tu labda ndiyo wale Ndugai anasema siyo rizki !!

Huhitaji hata mtoto wa chekechea kupima uwezo mdogo wa Mlinga hachangii chochote bungeni isipokuwa mipasho. Na kwa CCM huo ni mtaji
Wanakuwa mbumbumbu pale wanapowapinga, na wanakuwa makamanda ghafla punde wakiwaunga mkono
 
Wewe mwenyewe ushangae mbunge anaitukuza serikali inayotimiza budget kwa 34% na kusema kila kitu ndiyoooooooo, huyo ni rizki kweli??!! CCM imelemaza mpaka bunge halijui hata kazi yake ya kusimamia na kuishauri serikali badala yake wamebaki kuisifia na kuiabudu
 
Back
Top Bottom