Recent content by Sefet

  1. Sefet

    JamiiForums Tanzania Neema Dar: Bia zashuka bei, ndogo ni TZS 1,000 na kubwa ni TZS 1,500

    Naiwe hivyo. Ameen
  2. Sefet

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ateuliwa kuwania tuzo za Beffta kwa wanawake wenye ushawishi

    Kushawishi majeshi yaandamane na kuasisi msemo wa watapata taabu sana si jambo dogo ati.
  3. Sefet

    JamiiForums Tanzania Bwana Mheshimiwa akionyesha ujuzi wa kucheza kamatia chini

    Naskia tisiaraei wanasaka wanaosambaza hiyo kideo ya kipaji cha mushimiwa.
  4. Sefet

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inalipa kati ya hizi?

    Mfungulie biashara anayoipenda kuifanya yeye, Ataifanya kwa moyo na kujituma.
  5. Sefet

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Magufuli hawamuelezi ukweli. Je, wanamuogopa?

    In the name of Koromije we pray.
  6. Sefet

    JamiiForums Tanzania Kauli yetu wanajimbo: Tundu Lissu asahau kurudi bungeni

    Utamwadhibu hapo Lumumba ulipokalisha naniliu zako kusubiri upewe 7000.? Hopeless kabisa
  7. Sefet

    JamiiForums Tanzania Wazazi wangu wajinga!

    Aliyetoa wazo la kugawa tablet mashuleni alaaniwe, mnaona sasa wanavyozitumia..!?
  8. Sefet

    JamiiForums Tanzania Nimefumaniwa na mke wa mtu

    Mkuu umeongea kwa dhati nahisi ushawahi kumbana na kadhia hii.
  9. Sefet

    JamiiForums Tanzania Nimefumaniwa na mke wa mtu

    Yaani watatutesa humu hadi tuseme hiki nini, hakuna rangi tutaacha ona.
  10. Sefet

    JamiiForums Tanzania Tigo pesa,mpesa and airtel line for sale

    Msipojifunza kuweka matangazo ya biashara mtaishia kuangaliwa tu, kinachokufanya ushindwe kuweka bei ni nini au unataka kuwaibia watu?
  11. Sefet

    JamiiForums Tanzania Nime-Import leo toka Tanzania

    Hiyo kali aisee..
  12. Sefet

    JamiiForums Tanzania Chagua moja unalolipenda.

    Hamna japo ka Carina.
  13. Sefet

    JamiiForums Tanzania Picture: TAZAMA PICHA 4 JINSI BABU wa LOLIONDO ANAVYOISHI SASA HIVI NA KABLA ya KIKOMBE

    Bila kuwasahau Magufuli, Pinda, Chagonja na Mkulu pia.
Back
Top Bottom