Recent content by SEFANTA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza Clouds FM waanza kurusha hewani habari za Paul Makonda

    mpen kanda yenu awe rais wamangosha
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

    Wanazingua tu.. maana hata ambae hana mimba ameshasex haina maana kufanya ivyo. Napinga mm
  3. S

    JamiiForums Tanzania Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

    Kigoma kasulu town ni noumaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kagera usiniulize, sikujui hunijui na kweli sifahamu Kabisa maana ya hii orodha

    Mimi nilichangia tigo pesa naomba msaada nitapataje changu, maana nilichangia wahanga kama tangazo lilivyokua likitangazwa radion na mkuu wa mkoa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane katika hili

    Duh usage na kuni kavu kiongozi..!!!?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unakumbuka Ulimwengu alizungumza nini na leo yanatokea?

    Katika hili Rais yuko sawa, sioni kama kakosea amefanya kitu sahihi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Customer care' wa mitandao ya simu wanataka tujitambulishe wakati tumejisajili?

    Ukitaja jina tofauti na lililotumika kusajiri then ukataka huduma kama za m.pesa hauwezi hudumiwa lazima akwambie jina ni tofauti umpe mwenye line ndo apige so nikitu kizuri kwani ndo taratibu za kazi yake
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto atoroshwa ndani ya kikapu Muhimbili

    Police wasingemlipia hiyo pesa, amefanya ivyo kwa kukosa hiyo pesa na anamapenzi na mototo wake
  9. S

    JamiiForums Tanzania Stay warned christmas is satanic

    Mtoa mada chapa lapa tu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku taa za mwanga mkali kwenye magari

    Noo sio full light maana hizo hujulikana matumizi yake na zina umuhim wake, Zipo taa yan ni kero ukimulikwa.. kama za buster au hizo RED bars mkuu
Back
Top Bottom