Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,171
- 4,398
Habari zenu wana JF.
Kuna mtu mmoja kaniambia kuwa ukiusaga mkaa, ukaupata ule unga wake laini ukichanganya na maji kama glasi moja hivi na kuinywa ni dawa tosha kabisa ya kuondoa sumu mbalimbali mwilini. Vipi hapo wakuu kuna mwenye ufahamu sahihi juu ya hili?