Recent content by security

  1. security

    South African schools to teach Swahili in a bid to unite Africans

    Labda MK254 ndio huwa namuelewa. Ana kiswahili cha Kibongo. Hao Wakenya wengine mpaka nitumie binocular
  2. security

    NINI CHANZO CHA MOTO KWENYE MAGARI MAKUBWA?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  3. security

    Mdau mkubwa katika masuala ya Teknolojia, ndugu Chief Mkwawa asema simu za iPhone si chochote mbele ya Itel, Tecno, Xiaomi, Samsung

    Watumiaji wengi wa iPhone hapa Bongo hawajui fahari ya hii simu. Ni kama wanajitoa akili au akili zenyewe hazipo. Sikuhitaji iPhone kwa sababu ya security ila nilitaka kufahamu raha yake. Mwisho wa siku nikajikuta ni kama mfungwa.
  4. security

    Kuvaa vibaya na ukimwi

    Sijaelewa[emoji849]
  5. security

    Maajabu! Huyu umbwa kaona nini!!!??

    Atakuwa anafaidi harufu
  6. security

    Mvua za Mwanza zimenifukuzia papuchi

    Huyo nae alikwenda kanisani kufanya nini wakati anajua akitoka hapo atakwenda kwa shetwani. [emoji49]
  7. security

    Siwezi kucheza muziki, nifanyeje siku ya harusi yangu?

    Tuko wengi kumbe!! Hii mambo ya kuingia ukumbini itanifanya nisifunge ndoa.
  8. security

    Iran: Tutaisambaratisha Tel Aviv na hatutampa Netanyahu hata nafasi ya kukimbia nchi

    Mkuu umenikumbusha wale wakimbizi kutoka Syria waliokuwa wanataka kuingia inchi moja ya ulaya. Askari wa mpakani wa hio nchi ya ulaya walikuwa wameshika nguruwe aka kiti moto badala ya kushika mbwa. Wakimbizi wakagwaya kusogea mpakan[emoji16] kuna watu wabunifu sana.
  9. security

    SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

    Nahitaji fridge ya bei ndogo kuliko zote hapo dukani kwako. Naomba na picha yake.
  10. security

    Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

    Nataka kuroot tecno camon inagoma. Nimetumia kingroot.
  11. security

    Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

    Nataka kuroot tecno camon inagoma. Nimetumia kingroot.
  12. security

    Nyoka ni marafiki zetu na sio maadui, tusiwadhuru bila ya sababu bali tujenge nao urafiki

    Ati niwe na urafiki na black mamba. [emoji12] [emoji12]
Back
Top Bottom