Recent content by Secret Man

  1. S

    Kwa ufaulu huu aende kozi gani?

    Division 1.17 Civ C, Kisw B, Hist B, English B, Bios B, Physics C, Chem C, Geog C, Literature C, Math F. Mnashauri aende comb. gani, Serikali imempanga HKL?
  2. S

    Simulizi: Kurudi Kwa Moza

    Asante sana kwa simulizi tamu
  3. S

    Simulizi: Nini maana ya mapenzi

    Inafurahisha na kusikitisha kwa pamoja
  4. S

    Simulizi: Kurudi Kwa Moza

    Sikupingi mkuu
  5. S

    Tukumbushane kirefu cha neno B.M

    Baruani muhuza(B.M
  6. S

    Simulizi: Kurudi Kwa Moza

    iishe vizuri sasa
  7. S

    Simulizi: Kurudi Kwa Moza

    Ila naona Anna anabadirika taratibu
  8. S

    Nelson Mandela ni msaliti wa harakati za Uhuru wa Afrika Kusini na Afrika kiujumla?

    Mandela alikuwa mpole mno ndio maana wazungu walimfunga miaka 27 ili kumpooza machungu wakampa hako katuzo ka Nobel
  9. S

    Makocha wa kibongo

    Hivi ni kwanini asilimia kubwa ya makocha wa Tanzania ni vibonge?
  10. S

    Tottenham Hotspurs vs Man Utd

    Mi naanza, de gea,wan-bissaka,luke shaw,erick baily,harry maguire,fred,matic,bruno,pogba,rashford,na martial,
  11. S

    Tottenham Hotspurs vs Man Utd

    Mashabiki wenzangu wa man utd ni kikosi gani ungependa kianze leo dhidi ya Jose mourinho
  12. S

    Wachezaji wa Yanga wanaopaswa kupigwa panga dirisha la usajili

    Unakumbuka goli alilokosa yikpe dhidi ya mwadui?,ile pasi ilitoka kwa deus,yanga vs simba deus anagongesha besela afu unatka aondoke kweli?
  13. S

    Ricardo Kaka, mcha Mungu na hasira za kibinadamu

    Duh yani navomkubali kaka na ac Milan mpaka sasa natumia bukta namba 22,pia jamaa alitufunga tena utd tulipoenda kule italia
  14. S

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Naomba kujua historia fupi ya mchezaji BIGIRIMANA BLAISE
Back
Top Bottom