Recent content by second in commander

  1. S

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Hii sio kawaida hata kwenye ukoo au familia kumpoteza baba na kila kitu kikaanza kugeuzwa geuzwa. Suala la hali mbaya maofisini na mitaani lilitia hofu. Suala la kuongeza muda liliogopwa sana Suala la sukuma gang lenye nguvu ndani system liliogopesha sana Mababaru yalijua kama ataongezewa...
  2. S

    ATCL yakanusha madai ya Safari za Chato kutokuwa na faida

    Shirika la ndege la Tanzania limesema linaongeza safari za ndege kwenda na kutoka Bukoba na sio Chato kwa kuwa safari za Chato hazina faida. Msemaji wa ATCL amesema safari hizo hazina abilia wala mizigo hivyo ni safari zisizo na faida ,naona wameanza kumsaliti Magufuli kabla hata 40 bado...
  3. S

    Walimu wapya 6000 kuajiriwa ifikapo Juni, kuanza na waliojitolea kwanza

    Naibu Waziri wa TAMISEMI mh Silinde amewataka maafisa elimu nchini kupeleka majina ya walimu waliojitolea mapema ili wapewe kipaumbele katika ajira 6000 alizotangazwa Rais Samia hivi majuzi. Akijibu swali bungeni Naibu Waziri Silinde amesema kigezo cha kwanza itakuwa wale wote waliojitolea na...
  4. S

    Waziri Jafo: Msako wa vifungashio kuanza kesho

    Waziri wa Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema kesho wataanza msako wa kukamata vifungashio vya plastiki kupitia NEMC na TBS . Msako utakuwa kuanzia viwandani na mitaani
  5. S

    Ni muda wa wasanii kuja na mpango wao wa kuhamasisha utalii

    Nimeona Vyombo vya Habari vimekula mapesa kibao huku wasanii wakilialia kuwa hawakupata kitu Ni muda muafaka waje na mpango wao sio kutegemea wanyonyaji
  6. S

    Pato la Taifa linapatikanaje?

    Wakuu naomba mnijuze juu ya kitu kinachoitwa pato la taifa huwa linahesabiwa vipi. Je ni majeti yetu? Madeni na makusanyo ya Serkali? Natanguliza shukrani. ======= Mchango wa Mdau
Back
Top Bottom