Recent content by sechaba

  1. S

    Ama kweli Ali Kiba anatisha, Kapokelewa kama Rais huko Masasi Mtwara

    Nilisafiri na Ali Kiba kwa ndege ya ATC jana mchana kuja Mtwara. Pale airport kulikuwa na waendesha bodaboda kama 10 hivi na abiria wao, na magari kama 4 hivi yaliyokuja kumpokea. Lakini baadaye nikasikia amepokelewa na "nyomi" ya watu. Masasi sikuwepo, ila sitashangaa kama nitaambiwa nyomi ya...
  2. S

    Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

    Nadhani walihudhuria watu 8, wakalipwa KABILIONI kamoja kamoja tu, vijisenti vingine wakalipwa sekretarieti. Nani kakuambia Tz ni masikini?
  3. S

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ni shida

    Kweli naona amekuimpresheni....hivi vingeredha vitatumaliza jameni
  4. S

    Tetesi Nyumba imeungua Geita.

    Siyo tetesi. Ni kweli. Nimehudhuria mazishi ya watoto hao jioni hii. Ni watatu, wa familia moja. Dada yao mkubwa amelazwa bugando. Baba na mama wamelazwa geita. Inasikitisha sana
  5. S

    Profesa huyu anastahili pongezi za dhati

    Umedhuru, au umezuru? Angalia kiswahili chako bwana!!
  6. S

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Duh, First Born ushauri wako umechelewa kuwafikia. Mimi nimeachana nao rasmi jana, tarehe 31 July. Wana mayai viza kbao. Umesahau na lingine. Wanauza/vujisha mawasiliano ya wateja, hawana siri, hawana maadili. Ngoja wenye akili tuondoke, mmoja mmoja!!
  7. S

    Kwanini Mkoa wa Kigoma unakosewa heshma?

    Poti, achana nao. Kigoma ndo mwisho wa reli, mwisho wa ujinga. Huwezi kutaja historia ya upinzani katika nchi hii bila kuitaja Kigoma. Waache watukane, wadharau, wabeze-chochote kile, lakini hapa ngo wamefika. Leka dutigite!!
  8. S

    Waandishi wetu wa habari na lafudhi mbovu

    Hata wewe umechemka. Hatuandiki "hua", tunaandika "huwa". Na hatuandiki " kulikua", tunaandika "kulikuwa". Ila nakupongeza kwa kukerwa na wanaoharibu lugha yetu adhimu
  9. S

    Majibu kwa Wassira kwanini Kigoma wengi tunataka serikali tatu

    Kipofu hawezi kuona, na kiziwi hawezi kusikia. Kwa maelezo yako, inaonekana wewe ni kiziwi. Sasa sisi tukusaidieje? Leka dutigite. Wishavu ameneke!!
  10. S

    Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    How long shall they kill our prophets, while we stand aside and look?
  11. S

    Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Wenye akili tukuulize wewe; hivi wewe kweli ni Mtanzania?
  12. S

    Mfungwa Sajini Rhoda Robert aliyemwua mtoto wa Fundikira amefariki dunia akisubiri kunyongwa

    Sasa umeomba msaada wa wanasheria wa kazi gani wakati wewe mwenyewe umeshaanza kueleza kile unachokiona ndiyo legal position? Umejichanganya. Tatizo la sisi wa-Tz ndo hilo. Kila mmoja ni mtaalam wa kila kitu. Hatuna utulivu na ustahimilivu wa kuwapa nafasi wataalam wakafanya yao. Tunaanzisha ama...
  13. S

    Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila bungeni Dodoma

    Ni nini kinakufanya udhani, ama uamini kwamba Werema anajua sheria?
  14. S

    Kinyarwanda Kinapanda? Translate This Please...What's This Girl Saying?

    Afrika Kusini imetajwa wapi kaka? Umefanya general translation and still, you missed the point!
  15. S

    Uchaguzi Simba waahirishwa na TFF......

    Kaka umenichekesha sana. Kama utani utani vile lakini msumari umestick!!
Back
Top Bottom