Recent content by Seaman Pondamali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

    Ni kweli si vyema wala si busara! Suluhisho: Wanafunzi wote wa vyuo vikuu nchini nawashauri wavamie (waamie) UDSM ili mkuu awatambue kuwa nao ni wasomi. Nyongeza: Ndivyo alivyo! Umieni kidogo tu si sana!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, naomba utoe msamaha kwa ndugu George Paul

    George Paul ni mkazi wa kitongoji cha Kabusisi, kijiji cha Mulumba, Kata ya Bwina, wilaya ya Chato. George Paul alikamatwa na polisi na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la uvuvi haramu wa kokoro la sangara. Alihukumiwa mnamo mwezi Septemba 2016 na sasa yuko gereza la...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lissu ailaza chali Jamhuri katika kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli

    Mmmh! Nina walakini hapa!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa cha Sept 3-4 chaahirishwa...

    1) Sababu zisizozuilika, 2) Hadi hapo tarehe nyingine itakapopangwa! Duh! Ni sababu gani hizo? Nina wasiwasi na mwandishi wa barua hii, vinginevyo hizo ni chenga za makusudi!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Mbeya aipongeza serikali kwa kuchagua Mbeya kuwa sehemu ya kupatwa na jua

    Masikini wa Mungu! Tusimcheke bali tumwonee huruma!
  6. S

    JamiiForums Tanzania UKUTA ni Wa kuupinga na kuupuza kwa nguvu zote

    Hali hii haipendezi kabisa! Polisi nawaona kwa jicho la tofauti sasa! Kwa nini wapambane na UKUTA? Je, UKUTA ni uhalifu?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kwa Kiingereza kwenye ziara ya Waziri Mkuu wa India

    Huwezi kumuumbua mtu ambaye hukumuumba! Na ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga! "Kuna watu tuliwahi kuitwa vilaza! Tulidhalilika sana kwa neno lile zito kutamkwa na BOSI kama huyo!" Mungu anatulipia! Leo tunaona! Je, huo ni ukilaza au siyo ukilaza? Wakuu wawe na staha ili wadogo tuwastahi!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Haaah! Kumbeee! Nimeshtuka!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Siasa zisizo na tija zisishabikiwe

    Siasa ni nini hasa? Kwani kufanya kazi kunazuia siasa kufanyika? Zinazuiaje? Kazi gani itafanywa na serikali bila siasa? Hujui kuwa hata hizo kauli za Bwana mkubwa ni siasa?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Huyo ni profesa, hana hofu, wala hafanyi kazi kwa mihemko. Hebu kubalini kwamba tumeliwa! Huu ni mfumo wa soko huria, mabenki hayataendesha benki kwa hasara. Tuko katika ubepari (capitalism) na ujamaa (socialism) serikali ku-control masoko! Usidanganyike! Alichokwambia Prof. ndio sahihi zaidi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Hapa nimeguswa! Haya ndio yalikuwa mawazo yangu na maoni yangu! Lakini, kazi iko vijijini, mjini tayari wana elimu kubwa! Tafadhali wasisahau vijijini maana ndiko kunahitajika elimu kubwa! Wajenge chama na mizizi ya Upinzani vijijini, 2020 watashinda kiulaini hata kama CCM wataiba maana...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDOM kufukuzwa: Chanzo cha mgogoro na Serikali inavyohusika

    Tabia hii iliyoshika kasi pale UDOM ni uonevu na ukiukwaji haki. Kuna vijana hajapewa boom kwa muda wa karibu mwaka mzima sasa. Wengine ni zaidi ya mwaka. Licha ya kuwa baadhi ya wanafunzi hela zao zina zaidi ya mwezi sasa zimelipwa na HESLB (bodi ya mikopo), tangu April 25, 2016 hadi leo May...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wengi waliosimamishwa vikao vya bunge kurudishwa? Uamuzi unaweza kutenguliwa?

    Tanzania haitaendelea kwa mfumo huu wa kugeuza Tanzania ya viwanda kuwa Tanzania ya fukuza fukuza! Mafisadi - fukuza! Wavivu na wazembe kazini - fukuza! Wanaomdanganya Rais - fukuza! Wanafunzi waliodahiliwa kihalali chini ya kibali na programu za serikali - fukuza tena usiku bila huruma! Wabunge...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Spika na/au Naibu kuwa Mteule wa Rais sasa yanaonekana

    Hatari sana!
Back
Top Bottom