Recent content by Seal team six

  1. Seal team six

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Salaam wanajukwaa, Kwa kuzingatia ukweli kuwa waliofanya uchunguzi na hatimae kujitokeza na orodha ya watumishi inaosemekana vyeti vyao ni vya kughushi ni binadamu, kuna uwezezekano mkubwa kukawa na baadhi ambao wamejumuishwa kwenye hiyo orodha kimakosa. Swali ni, kwakuwa hatua dhidi ya hao...
  2. Seal team six

    Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dodoma (DUWASA) Itakwamisha Uhamishiaji wa serikali Dodoma

    Hakika ulichoongea ndugu ni cha msingi sana, Dodoma maeneo mengi maji yamekuwa ni ya kuvizia vizia. Nasikia mkurugenzi wao ni mbishi balaa linapokuja suala la uboreshaji wa huduma, pesa zinapatikana lakini zinakwenda mfukoni kwake, kuunganishia huduma wananchi nako ni shida, wananchi wengi...
  3. Seal team six

    Sasa ni Dhahiri: Bandari yakumbwa na Uhaba wa Mizigo

    Endelea kulia lia tuu maana zama zenu za kuinyonya hii nchi zimeshakwisha. Jipange kivingine bro, kulalama lalama huku jamii forum hakutokusaidia, Utaumbuka mjini mzazi. Kaanzishe mashamba ya matikiti kimbiji, yanalipa sana pia.
  4. Seal team six

    Sasa ni Dhahiri: Bandari yakumbwa na Uhaba wa Mizigo

    Kitu cha Muhimu ni kuwa mapato yameongezeka... Hatuhitaji mizigo mingi isiyokuwa na tija kwa taifa
  5. Seal team six

    ACT Wazalendo: Kauli ya Rais Magufuli ni vita dhidi ya demokrasia na uhai wa vyama vingi nchini

    Zito wewe si ulijitenga wakati wenzako wanadai katiba mpya, leo umeona maslahi yako yanaelekea kupotea unaanza kualika ushirikiano. Kwa nini ulishindwa kushirikiana kwenye kusimamia katiba ambayo ina maslahi mapana kwa taifa??. Hizo ndo siasa za kuwapotezea muda wakulima na wafanyakazi wa...
  6. Seal team six

    Siasa za Tanzania: Kutoka Ufisadi mpaka Udikteta

    Kwa mwanasiasa aliyepewa madaraka kikatiba na yupo kwenye nafasi ya kuchukua hatua dhidi ya Tatizo fulani, anapolizungumza tatizo, si kwamba analalamika kwa wananchi bali ni kwamba anawaelewesha wananchi waelewe hatua anazozichukua. Tumeona Mh.Rais akifanya hivyo, anatueleza matatizo aliyoyakuta...
  7. Seal team six

    Siasa za Tanzania: Kutoka Ufisadi mpaka Udikteta

    Tatizo ni kwamba wanasiasa wamekuwa wapotoshaji, ni nani asiyejua mbinu chafu za wanasiasa?? Hasa hasa wanasiasa wa Tanzania?. Tunahitaji taifa linaloundwa na watu wanaotumia muda mwingi kwenye shughuli za uzalishaji mali badala ya kutumia kiasi kikubwa cha muda wao kukusanyika kusikiliza porojo...
  8. Seal team six

    Siasa za Tanzania: Kutoka Ufisadi mpaka Udikteta

    Your argument is well articulated,,,Tanzania imejaa kasuku ambao wanaimba maneno yanayotoka kwa wanasiasa, hasa hasa wanasiasa Njaa. Hawana uwezo wa kukaa na kuchambua issues kwa undani wake. Nafikiri tunahitaji kubadilika kama taifa, tuwe na issues zinazotuongoza na tuzisimamie hizo...
  9. Seal team six

    Ajali Mbili: Basi la NBS kutoka Dar - Tabora na Basi la Kisbo, yamepata ajali Morogoro

    Ukawa acheni haya mambo jamani, mnatumaliza wananchi tusio na hatia
  10. Seal team six

    Siasa za Upinzani Tanzania ni za kitoto sana!

    Ndugu Samurai, inafahamika wazi namna ambavyo wafanyabiashara walijipenyeza ndani ya CCM ili waweze ku influence maamuzi juu ya sera zinazowahusu in their favour. Sikumaanisha kuwa wafanyabiashara walikuwa ndo wanasiasa moja kwa moja. Ndugu tambua mfanya biashara anahangaika ku maximize profit...
  11. Seal team six

    Siasa za Upinzani Tanzania ni za kitoto sana!

    Hawaogopwi, wanatahadharishwa, na pia itambulike kuwa Siasa siyo vurugu.
  12. Seal team six

    Siasa za Upinzani Tanzania ni za kitoto sana!

    Katika wanasiasa ambao hapa Tanzania sijawahi kuwa trust ni Zitto. Zitto ni mwanasiasa opportunist, ambae yupo tayari kufanya lolote kutetea ugali wake na si maslahi mapana ya Taifa. Zito ni bora atambue kuwa, sisi watanzania tumesoma pattern ya siasa zake, na tumeshajiridhisha pasi na shaka...
  13. Seal team six

    PICHA: Bomba la majitaka lapasuka na kutiririsha vinyesi magogoni

    Ni kweli ndugu yangu,, wadudu waliowengi wanaoenea kwa njia ya kinyesi-kinywa huwa wanakufa wanapokuwa katika mazingira ambayo ni hypertonic (Yana concentration kubwa ya chumvi ukilinganisha na iliyopo ndani ya cell ya huyo mdudu). Na ndo maana, huwa tunaweka chumvi kwenye baadhi ya vyakula...
  14. Seal team six

    PICHA: Bomba la majitaka lapasuka na kutiririsha vinyesi magogoni

    Wadudu wengi wa maradhi ambao huambukiza kwa kupitia njia ya kinyesi kuingia kinywani (Fecal oral route) hawawezi kuishi katika hali ya uchumvi wa maji ya bahari. Hivyo wadudu hawa wote hufa mara tu kinyesi kiingiapo baharini na kuchanganyika na maji. Kwa maana hiyo basi, natoa wito kwa jamii...
Back
Top Bottom