Recent content by Se Busca

  1. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Nunua accessories kwa bei ya jumla na reja reja

    Karibu upate vifaa vya umeme vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya biashara yako! Tunauza jumla na reja reja flash, cover, chaji na USB kwa bei nafuu kabisa, zenye kuhakikisha unanufaika kwa faida kubwa. Tunajua wateja wako wanapenda bidhaa zinazodumu, zenye ubora na...
  2. Se Busca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameoa mwezi uliopita, lakini sasa anasema mke wake anakojoa hata mara nne muda wa usiku tu

    Hoja yako ina mashiko sana, Unaoa vipi mwanamke alielala na wanaume kibao kwa mahari?, hakuna kutoa mahari, tuowe bure au wajilipie Mahari Mimi sitoi Pesa yangu kuoa mwanamke asio na Bikra mwanamke alietumika nitaoa bure au yeye ndo anipe mahari nikalipe lakni sio pesa yangu shenzi 😁
  3. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Kwa watu wenye changamoto ya vipara

    Jaribuni kutumia Minoxidl na Dermaroller inasaidia sana, japo matokeo hayaji mara moja inahitaji subira na uvumilivu
  4. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sunday Demonte yuko huru

    mambo vipi leo nimekutana na sunday demonte am so excited kwa kweli nimekutana mtu niliekuwa namsoma kwenye magazeti na kupiganae story Nimcheshi mno ana story nyingi kuhusu hawa wanawake mastar wa bongo itoshekusema aliwala sana hawa mabongo movie kipindi hicho kilichonishangaza zaid umbile...
  5. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Nitaoa mwanamke mshamba

    Mkubwa tatizo body count unaoa vipi mwanamke anaeijua kila aina ya uume wa mwanaume mwanamke kachapwa na wanaume hata 70
  6. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Nitaoa mwanamke mshamba

    Tatizo body count
  7. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Nitaoa mwanamke mshamba

    Wazee wa kazi Hamjambo? Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea amezifollow tamthilia za azam anangalia zote kuanzia saa 10 mpaka saa 6 za usiku, youtube anajua mpaka...
  8. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Mjue Ibrahim Abdalla Akasha: Pablo Escobar wa Afrika Mashariki

    Mtu Aliyetawala Biashara ya Dawa za Kulevya... Alilelewa huko Mombasa na wazazi wa kiPakistani, akianza kama mjasiriamali halali, akiendesha kampuni ya usafirishaji Akasha Transporters, ikiingiza mizigo ndani na nje ya Kenya kupitia bandari ya Mombasa. Je, umewahi kufikiria jinsi Bandari ya...
  9. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Soma vizuri The Soma vizuri thread mkubwa, tuliza akili na soma vizuri nilichokiandika
  10. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Sijajua ni upendo gani nilioukosa
  11. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Nimeishia darasa la nne mkuu, nilikuwa nasoma bagamoyo baada ya marehemu babu yangu mzaa baba yangu kufariki Ndipo tuliporudi dar es salam ikiwa nimeamishwa shule mwaka mmoja toka niamishwe shule dar es salam kwenda kusoma bagamoyo kwa bahati mbaya babu ndo akafariki Hivyo ikatupaswa turudi...
  12. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Nimeishia darasa la nne mkubwa, haya mengine ni mungu tu amenibariki
  13. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Asante Kaka
  14. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Kizungu nakifahamu Angel
  15. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Nakifahamu Kiingereza usiwe na wasisi mkubwa
Back
Top Bottom