Nikawaida media mbali mbali kutumia nyimbo za wasanii wa ndani zilizoheat kwnye matangazo ya biashara ila hii iliyo mezani leo ni ya wimbo wa "KULIKO JANA" wa SAUTI SOL kutoka kenya,Nilikua nikiupenda huu wimbo,not until hawa jamaa wa CLOUDS FM walivyoutengenezea Tangazo sijui la...
pole pole is a brave young man, km uncle magu kamuona anatafaa kuvaa viatu vya Nape basi apo ajakosea! manake ni bora kuliko wa jana..huyu hanaga magoli ya mkono,nimchapa kazi,ana busara kuliko umri wake na anathubutu kuliko vijana wengi pia knowledge na utashi wa uongozi anao.. niliwai kukutana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.