Recent content by Scropion_Master

  1. S

    JamiiForums Tanzania Real Estate vs Land Evaluation and management, Ardhi University

    Wadau nina kijana wangu, amefaulu vizuri tu form 6, na anahitaji kusoma kati ya hizo kozi mbili hapo juu, kwa anayefahamu indetail kuhusu hizo kozi. Msaada please ili niweze kumshauri..Maana binafsi sina uelewa nazo na kijana anataka kusoma.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Dagh umenikumbusha kwa mbali sana. Kwa Moudy kulikuwa najamaa mchukua ela wakuitwa Gobore. Jamaa noma sana yule..
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Walimu wa shule ya msingi na sekondari - Desemba 22, 2017

    Walimu wa Arts subirini 2020.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Babu alikuwa super talented, but tatizo lake hakuwa Humble..sifa zilimzidi i guess ndo sababu iliyompelekea asiingie Top 10 Olevel...Gwamaka na Sili boy hawa watu walikuwa wanajua, na wapo so humble..huwezi kuwazania yaani..nawafahamu vizuri hao jamaa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

    Endelea tu kusikiliza story za vijiweni kuwa MaTO wamefeli maisha. Japhet, he is doing very good now kwenye sekta yake. Hana njaa na anamaisha ambayo ni dream kwa vijana wengi..jamaa ni balaa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Mahakama: Nimeitwa kwenye Usahili mara tatu bila kuitwa kazini

    Mkuu maswali unajisahihishiaga mwenyew nini..? Kaa fikiria kwa makini unaweza kugundua udhaifu wako, may lugha nk. Then fanyia kazi. Kila la kheri hope utapata hizo ulizofanya leo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mhongo aliondoka na umeme tanesco

    kwa umeme huu, hizo treni za umme sijui itakuwaje.
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dakika 20 tu anasema kachoka

    kuna mwana anakusaidia ukiwa haupo, so ukija wew kashachoka NY** zote zishaisha
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watu tunapenda sifa lakini hii sifa sio ya kwangu

    airport chato, bombadier ..au niongeze
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wajuaji

    hivi mshafunga shule desemba hii enh?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    fungua tuition ya hayo masomo, kipindi unaendelea kutafuta. kama ni mwalimu mzuri utapata chochote kitu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa juu ya nafasi za TAKUKURU, Investigation Officer na Assistant Investigation Officer na mafunzo ya Polisi

    aisee, hii kitu nayo ifike mwisho..! maana kitambo sana hizi nafasi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekana kwa mtu aliehitimu darasa la saba akajiunga na Chuo cha Polisi

    polisi Hawachukui darasa la 7. mshauri arudi shule akamalizie form 4,
Back
Top Bottom