Recent content by Schoolface

  1. Schoolface

    Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

    Imeongezwa kama basic needs kwahiyo sio Tena food, clothes and shelter but now pia na sex imekua included
  2. Schoolface

    Ukila mua Bar nini kinatokea ??

    Wasukuma bhana sasa mua bar wanini 😂😂😂😂
  3. Schoolface

    Mke wangu hapendi nishike uke wake tukiwa faragha

    Usha sema mke basii kaanae chini mzingumze jambo Hilo au ukiona vip tafuta njia mbadala ya kumuandaa tofauti na kumshika uke
  4. Schoolface

    Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Mkoa wa mara pia Kilimanjaro hazipatikani week ya tatu sasa
  5. Schoolface

    DOKEZO Wafanyakazi 50+ tumeondolewa katika ajira ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kwa uonevu, Mamlaka za juu zitusaidie

    Pole sana ukiwa kwenye mkataba hutakiwi kuacha kuomba nafasi maana hujui lini watakuchoka binafsi wako sahii maana nafasi zilitoka hasa hizo za security pengine hukutaka kuomba kwasababu uko kwenye mkataba na uliamini watakuajiri bila interview kwa kigezo Cha kufanya kazi mahali hapo kwa muda...
  6. Schoolface

    Kwa nini watu wa mikoa ya Mara na Kilimanjaro wanapenda sana kufuatilia siasa za Kenya?

    Kwasababu wapo mipakani na nchi ya Kenya na wengine wanakua na ndugu huko
  7. Schoolface

    Baada ya Ibada ya Leo nimejihisi mpyaaa

    Habari Nimekua na muda mrefu sana pasipo kuhudhuria Misa takatifu ya roman Catholic kulingana na shughuli mbalimbali ambazo nimekua nafanya pengine kukosa muda wa kwenda kanisani kutokana na uchovu wa kazi au mambo mengi ya kidunia. Lakini baada ya Jana kukaa na kutafakari mambo mengi nikasikia...
  8. Schoolface

    Tule Vinavyotolewa… Lakini Tusiuzwe!

    Sina hakika kama huyo jamaa analudi bungeni
  9. Schoolface

    Ikiwa Siku ya sensa hakutakuwa na mapumziko, basi sensa inaweza kuchukua zaidi ya wiki kukamilika

    Mtaani kwangu kuna nyumba zaidi ya 10 ninazozifaham wanaishi jamaa na marafiki zangu hizi nyumba kwanza mwenye nyumba haishi hapo anaishi mkoani kodi anatumiwa na wapangaji wake wote ni watumishi na hawana familia kwahyo asubuh wote wanatoka mpaka usiku ndo wanakuja au weekend ndo wanakuepo sasa...
  10. Schoolface

    Bila kupata kimoko Kwa wife sipati usingizi je ni tatizo kiafya?

    Inatakiwa alale bila chupi kama hataki aende kwao
  11. Schoolface

    Watoto hawataki kutoka sebuleni nivae nguo

    Upo kwa wapwa zako bado unapiga mkwara
  12. Schoolface

    Vibao vya mchongo

    Habari waungwana Leo bana katika pita pita zangu nimekutana na kibao kingine cha mchongo kama kile cha royal tour leo sasa nina kingine tena ila sijajua huenda labda wakazi wa eneo husika wanaweza kua na maana tofaut na jina hilo maana vibao vya mitaani vimekua na majina tofaut tofaut na...
  13. Schoolface

    Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

    Pamoja na gharama zote hizo lakin kimo cha mshahara cha chini sio 300000/= kwahyo mkae kwa kutulia
Back
Top Bottom