Vibao vya mchongo

Vibao vya mchongo

Schoolface

Senior Member
Joined
May 7, 2021
Posts
156
Reaction score
165
Habari waungwana

Leo bana katika pita pita zangu nimekutana na kibao kingine cha mchongo kama kile cha royal tour leo sasa nina kingine tena ila sijajua huenda labda wakazi wa eneo husika wanaweza kua na maana tofaut na jina hilo maana vibao vya mitaani vimekua na majina tofaut tofaut na mengine yanakua yana jenga maana tofauti kwenye vichwa vya watu

Picha yenyewe ipo chini hapo
IMG_0437.jpg
 
Mkuuu hatarii ukienda mbelee apo humkosi ndugu yako inawezekana dada,baba mdogo hata mpwa
 
Back
Top Bottom