Recent content by schola kivelege

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja

    Ninacho mbande hakijapimwa na kina tofali 2000 ukubwa 20 kwa 30 gari inafika kituo cha kushuka ni songasi 0712151818
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa mtoto kunyonya kidole na uwezo wake kiakili

    Mpe vitu ashike mkonon vya kuchezea tena ni rahisi sababu kwa umri huo muda wote mikono ameifunga hivyo atakishikilia hicho cha kuchezea bila kudondosha nami nina mtt wa miezi mitano ila tatizo niligundua kuwa alikuwa hashibi baada ya kumpa nyonyo kila wakati linapungua kwa kasi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuna uzushi ya kwamba watu wenye damu group O, wanapata shida kupata Mtoto

    Hiyo hali ninayo mimi nikichomwa sindano inaitwa anti d injection ni gharama hii sindano mwaka 2011 nikiwa mby nikiinunua laki 2 nilipofanyiwa upasuaji kwa ajili upya kumtoa mtt tumbon walinichoma nina blood group 0 negative na Mr ni b positive ila mtt wa pili sikuchoma. Nashindwa kuelewa kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana Wa kazi

    Ni tatizo la kitaifa wadada wa kazi wengi sio waaminifu ni kiasi cha kuomba mungu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Sasa pesa arudishe za nin na kashawajibishwa? Kula raha mama
  6. S

    JamiiForums Tanzania Pata viwanja heka kwa bei poa

    Hati au leseni ya makazi? Mbona bei ipo chin usalama upon?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa bei poa Chamazi

    Nauza kiwanja kipo mbande bei 4.5m na tofali zipo hapo kiwanjan 2000 bei mil2 jumla 6.5 ni pazuri usafiri unafika umeme upon jiran mawasiliano 0712151818
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kipo msigani mbezi malamba mawili

    Kiwanja kipo mbele kidogo ya kinyerezi mwisho panaitwa msitu wa nyuki ni kizuri pamejengeka umeme upo kwa mawasiliano nicheck 0712151818 kiwanja ni changu mwenyewe bei 9m
  9. S

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa bei poa

    Ipo hii nissan c.km upo unaihitaji nicheck kwa namba 0712151818
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa haraka Gezaulole, Kigamboni

    Usijali shark zimefika
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa haraka Gezaulole, Kigamboni

    Nipo umeona nilivyo muwazi sijaficha jina
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa haraka Gezaulole, Kigamboni

    Hujipendi ndg yangu kiwanja karibu na barabara kila siku wanatanua barabara
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja

    Niacho kiwanja kipo mbande nauza 4.5m kipo pazuri na kuna matofali 2000 ambayo nilifyatua mwenyewe kwa uwiano wa mfuko mmoja wa cement tofali 40 ukichkua na tofali nauza 6.5mil 0712151818
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika; tegeta/boko/bunju/goba/mbezi juu/makongo/salasala.

    Nauza kiwanja maeneo ya kifuru ni changu mwenyewe kwa mawasiliano nipigie namba 0712151818 hakina hati
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Miss Tanzania aliyejiuzulu mapya yazidi kuibuka, aliyemrithi kupokewa kishujaaa Arusha

    Sitaki kbs kusikia hbr ya huyu bibi bomba
Back
Top Bottom