Kiwanja kinauzwa kipo msigani mbezi malamba mawili

Disailly

Senior Member
Oct 18, 2012
130
195
iwanja chenye ukubwa wa mita 55 urefu x35upana kwa 29mita kinafaa matumizi ya ujenzi wa nyumba ya makazi au gesti na baa kina barabara si ya kuomba ipo na kuhusu miundo mbinu kama maji na umeme yapo karibu na hapo bei ni maelewano kwa mawasiliono piga simu namba 0754 286329 uliza Amani
 

mamakibunju

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,014
1,195
iwanja chenye ukubwa wa mita 55 urefu x35upana kwa 29mita kinafaa matumizi ya ujenzi wa nyumba ya makazi au gesti na baa kina barabara si ya kuomba ipo na kuhusu miundo mbinu kama maji na umeme yapo karibu na hapo bei ni maelewano kwa mawasiliono piga simu namba 0754 286329 uliza amani

bei gani?
 

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
537
250
Kwani bei ya maelewano ndo bei gani. Kama upo serious weka bei ili mtu ujue unaanza vo kupiga simu. Haya basi chukua m 2 kama upo tayari
 

Disailly

Senior Member
Oct 18, 2012
130
195
bei ya kiwanja ni pale mteja atakapo kiona na kulidhika na mazingira yake ndiyo tunaongea
maana unaweza kuwa na pesa hiyo au hata kuchangishana na mwenzio
 

Disailly

Senior Member
Oct 18, 2012
130
195
mi nadhani kwa sisi watanzania hatuwezi kushindana kwa sababu mali ni yangu na haihitaji mizengwe
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,340
2,000
iwanja chenye ukubwa wa mita 55 urefu x35upana kwa 29mita kinafaa matumizi ya ujenzi wa nyumba ya makazi au gesti na baa kina barabara si ya kuomba ipo na kuhusu miundo mbinu kama maji na umeme yapo karibu na hapo bei ni maelewano kwa mawasiliono piga simu namba 0754 286329 uliza Amani

Mbona umeweka dimensions tatu tofauti??
Kiwanja kina pembe ngapi?
 
Nov 6, 2014
19
0
Kiwanja kipo mbele kidogo ya kinyerezi mwisho panaitwa msitu wa nyuki ni kizuri pamejengeka umeme upo kwa mawasiliano nicheck 0712151818 kiwanja ni changu mwenyewe bei 9m
 

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
2,000
mkuu ni vizuri ukapiga picha eneo na pia ukaweka bei elekezi ili walau mtu kuelewa mazingira
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom