Ni nyumba kubwa Tu, ina vyumba 3, stop 1, master na choose chake, jiko, sitting room na dining room. Imeezekwa upande mmoja. IPO ktk kiwanja cha ukubwa wa futi 70*60. Nguzo ya umeme ipo JIRANI na Barabara ipo safi Tu. IPO chamazi karibu name azam complex, bei ni milioni 18 tu. Contacts 0788-252045.