Pata viwanja heka kwa bei poa

Pata viwanja heka kwa bei poa

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
Habari zenu jukwaani:
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Inaleta fursa kwa Wajasiriamali,Wawekezaji na Wafanyabiashara
pata viwanja heka kwa tsh 2,500,000/= tu Vipo Kibamba ccm ni dakika 10 kwa gari toka barabarani pia ni karibu na chuo kipya cha Muhimbili University kinachojengwa,barabara ni safi mpaka eneola viwanja pia vimepakana na shule ya primary na secondary. Zilikuwa heka 50 vimebaki heka 10 tu na zote zina hati kabisaa.

Kwa mawasiliano: 0714-074040,0767074040 (Managing Director: TANGAZA MARKETING SOLUTIONS)
 
Mbona cheap? Havina migogoro? Sio mabondeni?
If not, then its a good opportunity kwa wale wenye ndoto za kujenga hostels
 
Mh! This is too good to be true. Anyways, naomba physical address ya ofisi zenu nataka nije weekend ili nikaone maeneo
 
kwa hapo sikukatalii kwani ni kweli unaweza ukapoteza mihela yako ukaambulia patupu
inabidi kuwa makini sana la sivyo majanga
migogoro yake sio mchezo... ni rahisi sana kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Mbona cheap? Havina migogoro? Sio mabondeni?
If not, then its a good opportunity kwa wale wenye ndoto za kujenga hostels

biashara ya ardhi ni shida

kwa hapo sikukatalii kwani ni kweli unaweza ukapoteza mihela yako ukaambulia patupu
inabidi kuwa makini sana la sivyo majanga

migogoro yake sio mchezo... ni rahisi sana kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

kwa hapo sikukatalii kwani ni kweli unaweza ukapoteza mihela yako ukaambulia patupu
inabidi kuwa makini sana la sivyo majanga

Too good to be true, Office ziko wapi tuwaone

Hati au leseni ya makazi? Mbona bei ipo chin usalama upon?

Be more than careful, there was a case btn two individuals over a piece of land in the same area (over 15 acres). One has won and with this offer I am afraid you might use your money to buy an endless crisis. Be more than careful again. Don't pay before checking with locals (on your own), do not ask the dalali to check for you, sometimes they collude with fake landlords. LASTLY YOU ARE WARNED! Last time i visited the area the judgement was posted at one of the noticeboard of Ward office but it is no longer there. Kuonyesha msisitizo uwe makini sana eneo hilo ni hatari pia kwani wanaweza kukuuzia eneo la MNH
 
sio wote humu ndani wana jua hicho kizungu chenu....tafsiri basi tuku elewe.
 
Kwa kifupi ni kuwa rahisi ni ghali, hivyo kuwa makini bei hiyo inanitisha sana kwani ameneo hayo hata 20m x 20m si rahisi kupata, ujio wa chuo umepandisha bei ya viwanja maeneo hayo.

Lakini pia kulikuwa na kesi kati ya watu wawili wakigombea shamba lenye ukubwa wa heka kama heka15 hivi (maeneo hayo sina uhakika kama ndo linauzwa) , hukumu yake imetolewa mwezi wa nane na hukumu hiyo ilibandikwa maeneo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ofisi za watendaji. Juzi kati (j1) nilipitia maeneo hayo sikuona bandiko hilo hivyo ndo maana nawaonya muwe makini. Nunua lakini fanya utafiti mkubwa wewe mwenyewe (usikubali dalali akufanyie utafiti huo, uliza wenyeji tena ikiwezekana waliojenga maeneo hayo si wale wanaolinda mashamba ya watu) usije ukaingizwa chaka mwanakwetu!
 
Kuweni makini mnaweza kuuziwa eneo la chuo cha muhimbili!!!!!!!!!! Pima thamani ya hera yako na kitu unachopewa, je vinawiana.VALUE FOR MONEY
 
The deal is too good to be true! 4 years back people were scammed same or arround that area! By then, the land was sold at tshs. 200,000/= per acre
 
Havina mkuu ndio bei yake hiyo ondoa shakaaa kabisa havina mgogoro...
 
sio wote humu ndani wana jua hicho kizungu chenu....tafsiri basi tuku elewe.

Mkuu acha kuwaogopesha vijana havina mgogoro na alie tayari tutampeleka nakukuhakisha tusemalo, tumeshawapeleka baadhi humu jf wanaweza sema wenyewe. ukishapenda unapelekwa kwa afisa mtendaji nakuweza kujilidhisha kwanza.
 
Mhhhhhh mhhhhh haiwezekani hio bei

Kwann isiwezekane kama huamini twende tukupeleke usibishe bila ushahidi mezani, waliokuwa wanabisha kama humu jf tumewapeleka wamejionea wenyewe.
Kama upo teyar twendeee... utakuja na kutoa ushahidi wako humu jukwaani!!
 
Kuweni makini mnaweza kuuziwa eneo la chuo cha muhimbili!!!!!!!!!! Pima thamani ya hera yako na kitu unachopewa, je vinawiana.VALUE FOR MONEY

Usemalo kweli mkuu ila nakuomba ukiwa wa kwanza kwa ushaur mzuri twende ukajionea mwenyewe, viwanja vipo na bei ndio hiyo tajwa ukishapenda na kutaka kuthibitisha nakujilidhisha tutakupeleka kwa afisa mtendaji nakupata maelezokamili.
 
Kwa kifupi ni kuwa rahisi ni ghali, hivyo kuwa makini bei hiyo inanitisha sana kwani ameneo hayo hata 20m x 20m si rahisi kupata, ujio wa chuo umepandisha bei ya viwanja maeneo hayo.

Lakini pia kulikuwa na kesi kati ya watu wawili wakigombea shamba lenye ukubwa wa heka kama heka15 hivi (maeneo hayo sina uhakika kama ndo linauzwa) , hukumu yake imetolewa mwezi wa nane na hukumu hiyo ilibandikwa maeneo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ofisi za watendaji. Juzi kati (j1) nilipitia maeneo hayo sikuona bandiko hilo hivyo ndo maana nawaonya muwe makini. Nunua lakini fanya utafiti mkubwa wewe mwenyewe (usikubali dalali akufanyie utafiti huo, uliza wenyeji tena ikiwezekana waliojenga maeneo hayo si wale wanaolinda mashamba ya watu) usije ukaingizwa chaka mwanakwetu!

Mkuu naomba kama una nafasi nikupeleke na wewe ukajionee nakujilidhisha na hili nisemalo, viwanja vipo na bei ni hiyo tajwa awali, ukishaona nakutaka kujilidhisha tunakupeleka kwa afisa mtendaji na haitoshi utauliza kwa majirani wa maeneo hayo.
 
Back
Top Bottom