Most powerful weapons in mcu
Infinity gauntlet,,hii ndio silaha hatar kuliko zote ndani ya mcu ,kwa kukadiria ilitengenezwa kati ya mwaka 2016_2017 thanos alienda nidavellir ,hii sayari ni ya dwarfs ikiongozwa na king dwarf eitri ,hii sayar ni ya mablack smith ,sas thanos alienda kwa eitri na...