Recent content by scaltingscalting

  1. S

    JamiiForums Tanzania Machine za popcorn zinauzwa

    Kila kitu ni mipango mkuu ukiwa mjasiriamali hutakiwi kuwa na mashindano laki tano sio kitu Lakin hizo machine nakuja kufanyia nini?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji sungura wa kisasa

    Nitafute kwa ninao 0769525665
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Huo ni ugonjwa unatokana na uchafu na wanaambukizana kikubwa nenda kwenye duka na dawa wakupe dawa ya mange ni ya sindano
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    OK nakupigia jioni hakuna tatizo mkuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Please nipigie au sms kwa number 0769525665
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Njoo pm ninao wa kutosha
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Njoo pm ninao wa kutosha
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    Ahaaaaaaaaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Nakumbuka nilpokuwa morogoro kwenye machimbo huko mangae nilipata thahabu mwenzangu akakimbia nayo nusura niuwawe na wachimbaji akatokea mmoja wao akaniombea msamaha nilaachia balaa ilikuja siku nimegongwa na kipisi cha chuma mguuni niliugua mpaka najiarishia kwani pia nilikuwa na malaria...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Kwa Nini Wanawake Wengi Hawa...

    Wengi wana msongo wa mawazo hasa family conflict
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada vaeni chupi zenye mvuto!

    ??????????
  12. S

    JamiiForums Tanzania Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

    Atulie aigize nani huoni bongo movie wamehamia ikulu
  13. S

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

    Kwani kama madirisha yalikuwa wazi? Na kelele nayo si zingetoka nje na majiran wakasikia?Bado sijawaelewa????
  14. S

    JamiiForums Tanzania Fao la kujitoa lafutwa rasmi

    Acheni tu yapite mana haya waliyapanga toka mwanzo kwani kura waliziesabu wenyewe hawakutaka shaidi. Na kama kweli hasira inakuja pole pole basi naona ya wa tanzania karibu itafika mahali pake.!wale walikufa kenya hawakupenda ila waliyataka ili adabu iwepo japo hayakuwa maamuzi mazuri. Kikubwa...
Back
Top Bottom