ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

Acha utoto bhana watu wamefumaniwa unasema wapumzike kwa amani???
Kifo ni kifo tu mkuu..haijalishi wamekufa katika mazingira gani, lakini maiti ni lazima wahifadhiwe vyema na sisi tulio hai hatuna budi kuwaombea kheri hapa duniani na mbinguni pia! By the way mimi na wewe hatujui matendo yao kabla ya hiyo incident iliyoitwa fumanizi! Maisha ndivyo yalivyo na lazima yaendelee mkuu!
 
Hivi kwanini tuamini watu hawa kisa itakuwa mapenzi tu! Inawezekana kuna sababu nyingine kabisa. Nafikiri tuachie jeshi la Police lifanye kazi yake na mwananchi mwenye habari kuhusu tukio hili alisaidie jeshi letu ili wahusika wote wafikishwe mahakamani ili haki itendeke. Naliomba jeshi letu liwe linatoa taarifa mapema sana kuhusu haya matukio jana tumeona Manchester tukio la ugaidi raia wanapewa taarifa mapema inasaidia kupunguza taarifa za uzushi na habari bandia.
 
3593a6b2dbf7857eadef2871248e2e6c.jpg
 
Hii kesi ya MSUYA kwa watu wa arusha hata mtaani ukienda utajua ni kiais gani nchi hii hakuna haki, Muhisika mkuu yupo mjini naranda randa na waliobakia kuuwana na kupambana ni vibaraka tu.

hakika WANAWAKE NI WATU HATARI SANA!
Muhusika mkuu ndio wewe au umekosea kuandika?
 
Judicate and Maureen RIP ila daaah. one day pple will talk about this shit!! Vunga chalii angu hii ni Chuga
 
Dah sasa papuchi zinazaliwa mpya kila siku, afu uuwe na ukimbie kama hujakamatwa si bora utemane na huyo dem tu? Kama ni kweli huyo jamaa nadhani sa ivi anajiona mjinga
we umeiona iyo pisi yenyewe au una bonga tu. mi nishailga enzi izo ma school secondari kitu cha arusha meru inakatika balaa inatoa paka donati cku inanipiga chini nili lia kinyama nikali arifuu.
 
Back
Top Bottom