Ndugu acha sisi washika dini tushike dini zetu sababu kuwepo kwetu katika hii dunia si kwa bahati mbaya kuna aliyetufanya kuwepo naye ni huyo ambaye wewe humuani.
Kumuamini Mungu kunahitaji utulivu wa akili kidogo si jambo ambalo kila mtu amebarikiwa nalo. Mtu akihoji kuhusu kuamini...
Ebwana wiki kama moja iliyopita nilikaa tu kitaa, mara nikaona vitu vya ajabu, waya aina za kopa zikawa zinajikusanya zikajifinyanga finyanga, ikatengenezeka coil, mara madini ya chuma yakajitengeza mapangaboi, ikatengezeka stendi na vitu vingine pia. Nikwambiavyo sahivi nina feni nzuri imo...
Ebwana wiki kama moja iliyopita nilikaa tu kitaa, mara nikaona vitu vya ajabu, waya aina za kopa zikawa zinajikusanya zikajifinyanga finyanga, ikatengenezeka coil, mara madini ya chuma yakajitengeza mapangaboi, ikatengezeka stendi na vitu vingine pia. Nikwambiavyo sahivi nina feni nzuri imo...
They have eyes but pretend not to see. According to them all good things in this country have been done by either Nyerere, Mkapa and they are going to say Magufuli. Mwinyi, Kikwete and the like seem to do nothing for them, you know why? Because they are not of their caliber.
Sent from my TECNO...
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raajiun(Sote ni wa Mungu na sote kwake tutarejea)
Hii ndio kauli tuliyofundishwa na imani yetu pale tupatapo misiba.
Hakika kila jambo huwa na sababu lkn bado mauti kwa kila mmoja wetu ni jambo la faradh (lazima), tumefundishwa kuwa, kullu nafsin dhaaiqatul mawt (...
Hivyo vitu unavyosema very serious na wao wanavifumbia macho ni kiasi wafanye hivyo coz wao ndio wafanyaji wa hivyo vitu kwa hiyo ni ngumu sana mtu kujikemea kwa jambo unaloliona ni sawa kwako kulifanya.
So, watabaki na blabla za hizo minor issues
Nilichokielewa kutokana na hii katuni ya Masoud ni kuwa:-
Pamoja goli lipo wazi lkn huyo mpigaji mwenyewe ni mlemavu hivyo hawezi kutumia nafasi hiyo kupiga na akashinda.
Hii maana yake ni kuwa
Kwa hali ya ccm ilivyo sasa kuna fursa ya wazi kabisa upinzani kushika nchi lkn upinzani wenyewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.