Kifo cha Leopold Lwajabe dhidi ya uongo wa Mambosasa: Aibu dunia nzima "skunk of the world"

Usijitoe akili kwa kujifanya huwajui watu wenye nguvu, haya nakutajia sasa ni hao uliowataja kwenye no4
 
Nimeshangaa kuona ana miaka 50+ ana mtoto mmoja tena darasa la tatu. Pia alikuwa single kutokana na kuwa alidivorce. Yaani pesa,possessions matérielles siyo kila kitu.
Kwahyo ulitaka afyatue kama mpemba?
 
Mie nimetoa mtazamo wangu
Siku hizi mtu hata akifa kwa ajali ya barabarani tutaambiwa serikali
Hayo ya kwako!!!Wapi mtu amekufa kwa ajali ukaambiwa serikali?Haya matukio ya kutekana na kuuana yamekuwa kawaida sana awamu hii,halafu kinachozua hisia hizo ni hawa targets wa utekaji na mauaji,unakuta motives zinafanana!!!!Mbaya zaidi serikali na amri jeshi mkuu wala hana habari na haya matukio!!!!!
 
mkuu wa tiss kajiticha kwenye ulokole Kama huyo Mungu anae mwamini yupo kweli uyu mzee atakuwa na undugu na shetani.hakuna wakati roho za watu zimepotea Kama awamu Ihii ya kwake dk kipilimba autakumbukwa kwa jema lolote zaidi ya yote mayatima wanaobaki ni kilio kwa kizazi Chako kijacho.
Kipilimba popote ulipo hizi roho zilizopotea zitakutafuna
 
Hivyo vitu unavyosema very serious na wao wanavifumbia macho ni kiasi wafanye hivyo coz wao ndio wafanyaji wa hivyo vitu kwa hiyo ni ngumu sana mtu kujikemea kwa jambo unaloliona ni sawa kwako kulifanya.

So, watabaki na blabla za hizo minor issues
Wanasisitiza vitu very minor, wakati kuna vitu very serious wakivifumbia macho

Hakika Taifa hili huko liendako ni suala la kumwomba Mungu atuepushe na balaa kubwa linattunyemelea la umwagikaji mkubwa wa damu
 
Inauma, inasikitisha, inatisha. Sioni kwanini roho zisizo na hatia zikitendewa unyama huu.

Dunia sasa inatujua jinsi tulivyo watu wa ajabu, Tanzania sasa siyo kisiwa cha Amani tena wala kimbilio la waliochoka na mateso huko kwao. Mungu atunusuru.
 
Lwajabe alifanyiwa unyama mkubwa. Alilawitiwa na kupigwa picha.
1564728584043.png
 
Yani imeniuma ni Mungu anajua kwa kiasi nilichoumia.
Kutoka kuokota kodi/mapato kwa bunduki hadi kupora kwa bunduki!! Sirikali iliofeli vibaya ktk historia ya Nchi yetu.
Ushauri wa bure kwa walengwa pale wanapojua wanawindwa, bora kupambana uuwawe hadharani kuliko kwenda kuteswa na kulawitiwa halafu na bado uuwawe.
 
Yani imeniuma ni Mungu anajua kwa kiasi nilichoumia.
Kutoka kuokota kodi/mapato kwa bunduki hadi kupora kwa bunduki!! Sirikali iliofeli vibaya ktk historia ya Nchi yetu.
Ushauri wa bure kwa walengwa pale wanapojua wanawindwa, bora kupambana uuwawe hadharani kuliko kwenda kuteswa na kulawitiwa halafu na bado uuwawe.
Zakaria style tu,ni wakati sasa watanzania wengi wamiliki silaha!Ukiona watu wanakunyemelea hawajajitambulisha ni ambush tu!!!!Mbwai mbwai,bora kufa kiume kuliko kupelekwa chocho kufanyiwa ufedhuli!
 
Back
Top Bottom