Recent content by Sayaka

  1. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Hali ya mapato ya serikali yashuka, serikali haina pesa wananchi tujifunge mikanda

    Tujufunge Mkanda Mara ngapi wanataka hapa tu hali ngumu
  2. Sayaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Karibia kwa Yesu akuponye unahitaji maombi
  3. Sayaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walio wengi hawana upendo na ndugu wa waume zao

    Hahaha
  4. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Usinipangie cha kuongea au kuandika aisee Sent from my SM-T561 using JamiiForums mobile app
  5. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Kuhusu TBC Kutangaza wongo na Kumlisha Maneno Rais wa Marekani Donald Trump

    TBC ni FA FA FA FA
  6. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Upepo umeshageuka, Vyombo vyote vya habari si huru tena

    Hata mie nimeshangaaaa nikawaza labda muda umeenda
  7. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanza nalo Jiji?

    Inaonekana we ni mtani tu wa wasukuma hapo naweza kukuelewa labda...
  8. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Nina Raha , jamani kadi sasa za kupigia kura sasa ndo habari ingine
  9. Sayaka

    JamiiForums Tanzania NMB hakuna namna nyingine lazima mtuibie tu katika utengenezaji wa Visa Card

    Na Exim walifanya hiVyo wakakata 20,000 yaani lazima kwani tumewalazimisha mtupe hayo ma kadi yenu
  10. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Nenda huna ishu tumechoka na ccm kwanza kira yako moja haina ,aana watapatikana wa tano
  11. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Magodoro na Jini, walifikiria nini!?

    Hakuna jini zuri wewe , mashetani yooote na majoka tu hayo .
  12. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Magodoro na Jini, walifikiria nini!?

    Yaani uko sahihi lakini huwezi jua huko anako tambikia ndo kaamriwa hivyo , ni ushetani kabisa na inaonyesha kiasi gani bado watu wanaabudu mashetani ,dawa ni hakuna kununua tu. Huenda ndiko iliko madhabahu yake kwa hilo jini
  13. Sayaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MKASA: Nilimuua rafiki yangu mwaka 1990, ananitokea akinitaka nikatubu

    jafarikyaka Naomba namba zako nikusaidie cha kutenda , hakuna solution ya kwenda kutambika , njia sahihi ni Yesu tu...
  14. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Team Lowassa waendelea kuumbuka. Sasa wamwita Lawrence Masha kuokoa jahazi

    Lowassa ndio Rais
  15. Sayaka

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Jerry Silaa, Sophia Simba na Sadifa wajiandaa kukinukisha endapo Lowassa atakatwa

    Wamuache Lowasa azidi kung'aa tu , mbona wana ccm wenyewe mnavurugana . Lowasa si anatoka ccm mbona mpigane vikumbo
Back
Top Bottom