Itakuwa akili zako si timamu, kapimwe mirembe. Yani wewe ukiangalia Taarifa ya habari unataka waanze na za fisadi lowasa tu ndo furaha yako. Anzisha tv yako ufanye hivyo. Wenzio wanaangalia uzito wa habari, siyo mahaba yako kwa lowasa au magufuli. Ngeke wewe!!!
Naona ITV leo wameufyata. Taarifa ya habari imeisha ila imepoa na habari ya Mbeya imewekwa mwisho kabisa. Headline ni mizogabya punda Dodoma. Clueless kabisa
Ushaambiwa ccm wana nyenzo na uwezo.TafakariAzam Tv, ITV, Na venginevo vimeshabadilisha muonekano wake wa kutoa habari, sasa zile habari zinazomuhusu Edo pengine zitatolewa mwisho wa Taarifa za habari au zinaweza zisitolewe.
Haya mabadiliko yameanza mara moja sasa tutegemee kupata taarifa za upande mmoja tuu, Hii kweli ni demokrasi?
Mkuu dawa ni Mitandao na whatsap kwa kwenda mbele,Azam Tv, ITV, Na venginevo vimeshabadilisha muonekano wake wa kutoa habari, sasa zile habari zinazomuhusu Edo pengine zitatolewa mwisho wa Taarifa za habari au zinaweza zisitolewe.
Haya mabadiliko yameanza mara moja sasa tutegemee kupata taarifa za upande mmoja tuu, Hii kweli ni demokrasi?
Ushaambiwa ccm wana nyenzo na uwezo.Tafakari
Mkuu dawa ni Mitandao na whatsap kwa kwenda mbele,
ukombozi wa kila kitu utapatikana mwezi wa kumi.
kwa sasa ikibidi kutembea kwa miguu kupeleka taarifa
tufanye hivyo,kikubwa tudumishe amani
chama chetu kikongwe kiondoke kwa amani na heshima yake kiwekwe makumbusho ya taifa.
Nimeona Tbc hawasomi kabisa hata habari za UKAWA magazetini.Napata shida sana vyombo vinavyoendeshwa kwa kodi zetu zinaegemea upande
Ndio maana huwa sipotezi mda wangu kuangalia taarifa ya habari Televishen Bovu La Chama (TBC) hata siku moja
Wanaweka mwisho ili uangalia habari za mwanzo
Ni kama shoo za kibongo wanaanza na wasanii underground wanamalizia wakina diamond