Wewe utakuwa uliagiza gari iliyotumika, used car, sisi hapa tunazungumzia brand new cars, zero kilomita. Hata hiyo unaweza aagiza pia, ila hiyo kampuni watakaokuuzia ni lazima kwanza wainunue hiyo then iwe kwamba wanakuuzia iliyotumika hata kama ni zero kilomita. Soma vizuri sera za Toyota Japan
Ukipunguza safari za nje unapunguza demand ya foreign currencies and hence unaaimarisha nguvu ya hela yako ya ndani. The theory of demand and supply inafanya kazi.
Huwezi kuangiza moja kwa moja brand new vehicles from Toyota Japan ni lazima upitie kwa wakala kwenye nchi yako. Toyota Japan hawawezi kushindana na mawakala wao wenyewe. Kwahiyo serikali kununua magari yake kupitia kwa wakala ni sahihi kabisa.
Hii ni taarifa tu
Sikubaliani na wewe, konyangi inauzwa kidogo sana huko kenya. Utakuta duka kama Nakumatt wana chupa kumi tu za konyangi. Mbona husemi kuhusu maziwa ya kenya yaliyojaa hapo Tanzania lakini hakuna hata kopo moja la maziwa ya Tanga Fresh huko Kenya, au Uganda, au Rwanda?
Nchi bila viwanda ni sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.