Kama ni kweli anazingumzia ana pesa Bank isiyofikia hata 10Mil, ni kiwango kidogo sana hicho wala hapaswi kulaumiwa kwa lolote.
Mambo mengine kama shamba, nyumba,kutembelea VX ni kitu cha kawaida, linaweza kuwa gari la nyumbani huyu ni mtoto wa rais ana masilahi yake serikalini kupitia baba...