Wana jina maarufu, wanaita "Booster".
Vinywaji hivi vinatembea sana. Na sidhani kama watumiaji wana uelewa sahihi juu ya matumizi ya vinywaji hivyo.
MO Energy inauzika sana kwa sababu ina ujazo Mkubwa kuliko Azam ijapokuwa bei ni moja.
Red Bull, Dragon na Kung Fu zenyewe bei ipo juu ila...
Ni kweli yapo na nimewahi kushuhudia Mzee amekufa baada tu ya kukamilisha nyumba yake. Kuna mhitimu wa UDSM (sina hakika sana) alifariki siku mbili tu kabla ya graduation yake kwa ajali.
Lakini, kwangu Mimi naamini kila mtu ana lengo lake lililomleta duniani. Na naamini mtu hufa punde tu baada...
Onyesha katika Vitabu vitakatifu (Qur'an au Biblia) ni katika aya ipi mtu bahili amelaaniwa na Mungu. Ili liwe somo kwa wote.
Huenda wewe ni muelewa sana. Ili tujifunze kwa pamoja.
Sijakulazimisha pia kusoma Uzi wangu, kama unaona unakupoteza muda close the thread and get a dress for the night.
Wasalaam Wakuu.
Ubahili ni moja ya nguzo muhimu Sana katika kufanikiwa. Ni hali ya kuwa na nidhamu ya fedha kwa kujibana au kutafuta njia za kupunguza gharama zisizo na msingi. Lengo kuu hasa la ubahili ni ku-save na ukishakuwa na savings za kutosha, bila shaka maisha yataenda vema.
Naomba...
Mdogo wangu, wewe Fanya mambo mengine kwanza. Mambo ya kutongoza waachie wa kubwa.
Vitu kama hivyo hujijia tu automatically. Kama unasoma,piga kitabu. Kama una dili zingine, Fanya kwa bidii. Achana na mambo ya wanawake.
Tafuta pesa, kisha wanawake watakutongoza wewe.
Mkuu ONTARIO, how big is your staff?
How do you think if you could recruit me be one of them? I may not have graduated from any field but I have passion to work under your supervision.
I wish to learn much from you and that will only be possible if I could be part of your team.
Please make...
Pole sana Mkuu kwa Uchumi kuporomoka. Siyo kwako tu, ni janga la wengi.
Pamoja na hilo, kuwa na la kushukuru. Una afya njema, unapumua vizuri na viungo vyako vinafanya kazi vema.
Kuna wengine pamoja na kuwa Uchumi na kudorora lakini wana hali mbaya kiafya, wana msongo wa mawazo na pengine wapo...
Mpe pole sana. Hiyo ni sehemu tu ya maisha.
Utaratibu ulikuwa ukidisco, utasubiri miaka miwili ndipo uruhusiwe kuomba kudahiliwa tena katika taasisi ya elimu ya Juu.
Hii ni pale usajili ulipokuwa chini ya TCU.
Kwa sasa sijajua, kwa sababu usajili hufanyikia moja kwa moja chuoni. Cha Msingi...
If Idiots have to be killed, I would rather recommend that they should start with you.
Don't you know how the minister is concerned with the so called MIKATABA under his ministry?
You should be delivered to hell.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.