Recent content by sauti

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Ng'jhili avunja ukimya, na kusema 'CHADEMA in struggle for independence'

    nakubaliana na wewe
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Roma kawafanyia nini wakazi wa Iringa?

    kuna wimbo wake ulishapigwa marufuku redioni unaitawa ''Hii ndio Tanzania''
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vifaa gani vinahitajika kutengeneza home studio?

    shukrani sana!
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

    kwa mujibu ya matokeo ya kura za uspika ,265-makinda, 53-marando, sasa imejidhihirisha wazi kuwa CUF, TLP, NCCR. Wana unga mkono CCM. Hii inaleta picha halisi ni nani anaye panda gari la mafisadi na nani anayepanda gari la wana mageuzi. Nadhani chadema haina haja ya kuwashirikisha CUF(ccm-2) n...
  5. S

  6. S

    JamiiForums Tanzania Vifaa gani vinahitajika kutengeneza home studio?

    Mimi si prodyuza, lakini ninapenda sana mziki, na kujifunza kuproduce. Si kwa ajili ya biashara, nimesha anza kujifunza fruity loops 8.0, na nataka nianze kujifunza kinanda.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vifaa gani vinahitajika kutengeneza home studio?

    wana jf, ningependa kujua vifaa muhimu, hardware na software, kwa ajili ya kutengeneza home music studio na Gharama za vifaa hivyo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    mimi nimechoka na hawa watu wanao toa comments zisizo kuwa na misingi, eti udini, sijui umkoa, mara ukabila,! Toeni ushahidi. Kwa kifupi. CHADEMA NI NOOOMA. Mbona CCM hawajaweka majina ya sehemu walizo toka?. SASA SUBIRINI MOTO WA BUNGENI NDIPO MTAJUA CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA!
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 TUSIFURAHIE KIUINGIZA WABUNGE WENGI WA UPINZANI (tafakari)

    crap... Toka hapa na fikra mgando, tuondolee udini wako. Watu walio chagua ccm ni kwa sababu hizi, aidha wanafaidika hivyo kulinda maslahi hayo kwa njia chafu, au wenye fikra kipofu na mgando kama wewe, once again. Craaap!
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mollel wa CHADEMA amtoa kamasi Lowassa

    hakikisha hizo namba, lowasa kashinda kwa asilimia kubwa sana.inaonekana Wa2 wake wanamkubali
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

    craaap.,
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Sasa Najiunga Na Chama Cha Siasa Rasmi

    nimependa quote ya plato, na ni ukweli kabisaa, nami nachukua kadi kabla ya mwaka huu kuisha!
Back
Top Bottom