Vifaa gani vinahitajika kutengeneza home studio? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifaa gani vinahitajika kutengeneza home studio?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sauti, Nov 11, 2010.

 1. s

  sauti Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf,
  ningependa kujua vifaa muhimu, hardware na software, kwa ajili ya kutengeneza home music studio na Gharama za vifaa hivyo.
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kama hufahamu ni vifaa gani, basi hufai kuwa producer.

  Hizo hela zitumie kwa biashara nyingine maana hii imeshakushinda hata kabla hujaanza.

  Kuna vyombo vya aina nyingi sana na vingine kama vya akina The Rolling Stones, EMI, SONY nk ni bei mbaya.  Kila la kheri. Usikate tamaa kwa maneno yangu. Ila ni vema nikikupa onyo mapema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Labda alikua anataka ku-establish yake ya entertainment na si ya biashara au u-pryodyuza
   
 4. s

  sauti Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi si prodyuza, lakini ninapenda sana mziki, na kujifunza kuproduce. Si kwa ajili ya biashara, nimesha anza kujifunza fruity loops 8.0, na nataka nianze kujifunza kinanda.
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nunua kwanza hicho kinanda na mashine ya Sampler. Pia nunua Computer yenye Sound Cad nzuri na hiyo program yako uwe unarekodi hizo sampler zako kutoka kwenye kinanda na Sampler mashine na baadaye zote unaziunga kwenye hiyo program yako na kuwa na mziki tayari. Utakavyokuwa ukiendelea, ndiyo utaanza kuona umuhimu wa kuwa na aina nyingine ya mashine. Hapo utakuwa na uhakika, mashine gani hasa unahitaji na siyo kuruka na kusema nataka vyombo vya Studio.

  Njia nzuri sana ambayo hata Producer kama Larock walifanya ni kufanya kazi Studio na huko unapata shule moja nzuri sana. Unaweza kuwa unafanya hata BURE. Unamwambia jamaa akuonyeshe na unakuwa ukifanya kazi zake kidogokidogo. Hatakuonyesha vyote ila siku zinavyokwenda, mengine utajisomea mwenyewe maana ngumu siku zote ni kuanza.

  Kila la kheri katika safari yako.
   
 6. s

  sauti Member

  #6
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shukrani sana!
   
Loading...