Kwa hiyo mkuu wa nchi hawaamini watendaji na wizara zake au tuelewe vipi?
kuna mdau katoa ushauri achukue wizara kama 5 hivi ziwe za kwake kisha avunje hao akina TPDC na wengineo
Civil Servants wetu bado wako kwenye karne ya 7 ni vigumu sana ku keep up na dunia tuliyonayo ambayo watawaliwa wanahoji mabo mbali mbali
Sielewi why hawataki kabisa wananchi wajue plans za maendeleo na investment opportunities na incentives zinanzopatikana
Naamini hii iko chini Waziri Mkuu...
Hivi kuna ubaya gani wakawa na blog au website ambayo itaonyesha Master plan ya huu mji na pia wakaweka wazi nini kitafanywa wapi na kwa nini hawajataka kufanya Public Consultation kwenye hili jambo ?
Kufanya Capital City Planning ni vyema wadau mbali mbali wakahusishwa na kutoa maoni yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.