Zanzibar ya Shein haina Ufisadi au CUF wamekuwa impotent?

SAUL BERENSON

Senior Member
Jan 31, 2017
150
250
Inashangaza sana kuona kila kukicha huku mainland tunatumbua majipu, tunafukuza kazi watu na tunaburuza watu mahakamani lakini cha ajabu Shein na serikali yake wamekuwa kimya utadhani kuwa zanzibar hakuna ufisadi na hasa ukizingatia wao wana skendo ya airport na za unga.

CUF nao wako kimya husikiii wakiibua maskendo yoyote ya kifisadi kule, na kimya cha maalim seif ndio kimezidi.

Kulikoni huko?
 
DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,885
2,000
Inashangaza sana kuona kila kukicha huku mainland tunatumbua majipu, tunafukuza kazi watu na tunaburuza watu mahakamani lakini cha ajabu Shein na serikali yake wamekuwa kimya utadhani kuwa zanzibar hakuna ufisadi na hasa ukizingatia wao wana skendo ya airport na za unga.

CUF nao wako kimya husikiii wakiibua maskendo yoyote ya kifisadi kule, na kimya cha maalim seif ndio kimezidi.

Kulikoni huko?
Once wakiongelea serikali it means wanatambua uwepo wa serikali/raisi. Kitu ambacho wanakikwepa.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom