Recent content by Sasunimg

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    Matako wewe
  2. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Ivi jamani tuungane pamoja kumuombea rais wetu akumbuke watumishi wake walioomba kubadilisha vituo vya kazi maaana hali mbaya watu wameomba uhamisho toka mwka jana mpaka leo watafanyaje kazi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kugushi.

    Sina uhakika .Lakini kama ni kweli hadi inafikia hatua RC anagushi cheti,kama nikweli tumefikia pabaya saaana ndugu zangu inauma sana
  4. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani ivi ni kweli uhamisho umeshatoka? Kama bado utatoka lini?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa umma umesitishwa au umefutwa?

    Ivi nikweli uhamisho kwa watumishi wa umma umesitishwa au umefutwa?
  6. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Ndugu zanguni watumishi wa umma mliokuwa mnategemea kuhama mwezi july 2016 vp kuna taarifa yoyote kuhusu swala hilo maana kimya sana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania TUCTA Ifutwe hawawatendei haki watumishi.

    Yaaani inakera sana tena unakuta mtu anahama mwenyewe bila malipo lakini anazuilowa.mambo gani haya ubabe hadi kwenye utaratibu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jamani vipi wadau wauhamisho kuna jipya?

    Jamani vp wadau wauhamisho kuna jipya? Au wamebana tu
  9. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Subiri tar 15 january hii kitu out ndugu vumilia wahanga ni wengi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI na utumishi wapeni watumishi wa umma walioomba uhamisho

    Mh. Simbachawene kwa mshikamano mkubwa na Mh kairuki wapeni watumishi wa umma walioomba uhamisho toka january mwaka huu. Mbona mmewahakiki na wengi wao wanajihamisha wenyewe mnawabania nini hamuoni kama mnadhohofisha utendaji vituoni? Fanyeni hivyo jamani hali kwa watu hawa ni ngum sana sasa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI bado zoezi la uhakiki linaenelea?

    Jamani waungwana ivi uhakiki bado unaendelea?maana watu tumesubiri vibali vya uhamisho mpaka tumepoteza matumaini
  12. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI angalieni suala hili la Uhamisho kwa jicho la tatu

    Jamani waungwana hivi uhakiki bado unaendelea?Maana watu tumesubiri vibali vya uhamisho mpaka tumepoteza matumaini.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wamtisha Rais Magufuli, wampa siku 15

    Tutaheshimiana tu manake hakuna namna sas itabidi iwe ivo
  14. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI angalieni suala hili la Uhamisho kwa jicho la tatu

    Kwa serikali inayotaka ufanisi wa utendaji lazima iangalie na uhitaji wa watendaji wake. Kwa mfano watumishi wameomba uhamisho wa bila malipo kwa kutokana na matatizo tofauti tofauti na walitegemea mwezi July wapate vibali wahame lakini mpaka leo kimya. Je serikali inategemea hawa watu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania uhakiki wa watumishi

    huooo umefika baada ya hapo.ni interview
Back
Top Bottom