Kugushi.

Sasunimg

Member
Aug 3, 2016
58
34
Sina uhakika .Lakini kama ni kweli hadi inafikia hatua RC anagushi cheti,kama nikweli tumefikia pabaya saaana ndugu zangu inauma sana
 
Ngoja waje buku 7 fc shauri yako.maana wao wanaona sawa Daud Bashite kufeki vyeti
 
Hilo sio swali sasa. Kugushi INA zaidi ya mwezi na wala haijakanushwa zaidi ya kupindisha majibu. Akiulizwa unakula nini anajibu mnanionea wivu kucheza basketball
 
Back
Top Bottom