Recent content by sartorius

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ultrasonographer

    Habari za wikiendi wana jf! niwape taarifa tu kuwa mtaalam wa ultrasound anapatikana kwa aliye tayari kufanya naye kazi! Kwa majadiliano zaidi niPM.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuhitaji Pharmacy

    Weka email mkuu tuwasiliane
  3. S

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa (katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha) kumfukuza mkt wa Ngorongoro kesho

    Palapala, Leonard, Tito ndo tegemeo chadema ngorongoro hawawezi kuondolewa kirahisi namna unavyofikiri.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwadhamu Polycarp Pengo: Serikali mbili zinatosha

    Serikali moja ndio mpango mzima.
  5. S

    JamiiForums Tanzania mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro (CCM) akamatwa Kwa kosa la Ujangili

    Kwa hili hakuna siasa mkuu, mimi mwenyewe nipo Loliondo na mh Ngorisa m/kiti wa halmashauri (ccm) akisaidiana na askari polis anayetambulika kwa jina moja la Ibra wa kituo cha polis Loliondo wanashikiliwa kwa ujangili uliotokea kwenye eneo la hifadhi la OBC (kwa mwarabu).
  6. S

    JamiiForums Tanzania Re: Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na Wala Simu Zangu Hapokei

    Pole sana dada, hebu ni PM tuongee
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hawa Hawana Wivu wa Mapenzi Afrika Mashariki na Kati

    Wamasai pia hawajaachwa nyuma katika hilo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Heloo,I am a New Comer

    Karibu JF
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hodiii wana JF!.

    Karibu JF
  10. S

    JamiiForums Tanzania introduction

    Karibu sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania knock knock!

    Karibu sana bibie naysha
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msiba wa sheikh nassor bachu

    Rip sheikh
  13. S

    JamiiForums Tanzania hodi jamani wa wapi wenyeji wakarimu.

    Karibu jf Gitifii
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali....Siku za kujifungua zimepitiliza sana!

    Mkuu mimba under normal circumstance haizidi wiki 37, japo kuna nyingine zinaenda mpaka wiki 40. Cha msingi ni kumuuliza kama mtoto anacheza. Pia ni vizuri akaenda sehemu/hospitali ambayo wanafanya ultrasound kwani ina uwezo wa kuestimate age ya mimba na pia siku ya kujifungua.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Utamu wa ngoma, uingie ucheze.

    Ahsante sana mkuu watu8. Pamoja sana.
Back
Top Bottom