Mwenye kuhitaji Pharmacy

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Wadau mwenye kuhitaji na anayeweza kuendesha biashara ya duka la dawa yaani pharmacy .Pharmacy imekamilika ww ni kufungua na kuanza kuuza ni ya kisasa, hii ni baada ya kuhamishwa kikazi nashindwa kuisimamia, kwa aliye serious ani pm.
 
Jamani anayehitaji pharmacy ya kisasa ambayo ina kibali toka tfda, lesseni ya biashara, iko full dawa zipo ndani, ac, aluminium shelves na tiles na mengine kwa anayehitaji ani PM tuweze kuwasiliana na kuelekezana ili aje kuiona
 
Nimehamishwa kikazi so siwezi kuirun sina mtu wa kuisimamia ilikuwa imeshafunguliwa but sitarajii kurudi dar tena kimakazi so niko very serious
 
Mkuu Ungesema iko wapi, gharama za fremu na idadi ya dawa zilizomo humo na bei yake ingekua vizuri zaidi
 
Ndugu zangu juzi niliweka taarifa kama kuna mtu anahitaji kununua duka la dawa "pharmacy" Lakini naomba kutoa ufafanuzi ili kupunguza maswali, Pharmacy iko kinyerezi eneo linaitwa Mbuyuni, ni sehemu nzuri kwa biashara maana kuna biashara nyingine tena na jumla ya flemu zilizopo ni 17 so ni center, pharmacy imekamilika na ina dawa ndani za kutosha huhitaji kuanza upya zinazofikia thamani ya 3.5m AC ipo, shelves ni za aluminium kuta zote nne, milango pia na meza yake, lina kibari na lesseni husika, so mwenye kuhitahi awasiliane nami privately siwezi kuandika namba yangu ya simu ktk hii taarifa kwa sababu za msingi, ahsanteni sana
 
Duka la dawa/ pharmacy ya kisasa iko sokoni inapatikana maeneo ya kinyerezi mbuyuni wilaya ya ilala ina kila kitu na dawa zake ndani ni kufungua na kuendelea na bishara , mwenye, kuhitaji ani Pm tuweze kuwasiliana, ni la kwangu mimi siyo dalali na sihitaji dalali.
 
Ndo maana nikasema mwenye kuhitaji asipate shida tuwasiliane kupitia private sms ili tuweze kupeana contacts ,that's what I said before,
 
Duu pharm inauzwa na dawa zake hapa ipo kitu si sawa halahala jumba bovu lisijemwangukia atakae nunua manake wabongo kwa sound hatuko nyuma.
 
Nimehamishwa kikazi so siwezi kuirun sina mtu wa kuisimamia ilikuwa imeshafunguliwa but sitarajii kurudi dar tena kimakazi so niko very serious
samahani kumbe ulikuwa umeshajibu maswali yangu.
Hilo la kuhamishwa kikazi hata mimi liliwahi kunifilisi kibiashara.
Kila la kheri in ur undertaking
 
Duka halina tatizo isipokuwa tunahama na familia yangu kikazi so siwezi kulisimamia, mimi hapa sitanii na wala si kwamba nauza kwa sababu lina tatizo sema tu watu huwa tunapenda sana ku- generalize mambo siwezi kuuza kitu kibovu au chenye matatizo imani yangu haiko hivyo kikubwa ww uje upaangalie ujionee mwenyewe, ukini pm itakuwa sawa tutawasiliana vema
 
Back
Top Bottom