Recent content by Sarmada

  1. Sarmada

    Raisi asifanye Mahojiano muda wa Kazi

    Binafsi ya siasa nawaachia wanasiasa lakini huu muda utatukosesha Hutuba hii muhimu kwa taifa vinginevyo irudiwe saa nne usiku
  2. Sarmada

    Kulikoni ujenzi wa taasisi za kiislamu kufanywa na serikali?

    Bakwata ni mshirika Mkubwa wa Ccm wa kufa na kuzikana na serikali iliyopo madaraka ni ya Ccm hayo lazima yatarajiwe
  3. Sarmada

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Nilisikia kuna mashetani wa kibinadam kama ilivyokawaida ya shetani anashughulika na mambo Tata akiacha lundo kuu la neema za Muumba zisizomithilika na huyu bwana ana hisa na mpinga Mungu. Najiuliza kwanini hoja ziwe kinzani tu!
  4. Sarmada

    Kitovu kumuangukia mtoto wa kiume ni kweli anakuwa hana nguvu za kiume?

    Nadhani ukipinga jambo yakupasa kuwa na hoja vinginevyo tuache hizo hisia bila aidha kupinga au kuthibitisha japo tahadhari ni muhimu madam hakuna ukanusho wa hoja.
  5. Sarmada

    Hivi ni kweli wanaume wa Dar ni walaini kiasi hichi?

    Unaposema wanaume wa Dar wanaporwa na Panya road kwani hao panya road si ni wa Dar USHUPAVU WA MWANAUME hauzingatii utokako tazama aitwaye Scorpion na yale yadaiwayo kuyafanya naye mwanaume wa Dar.
  6. Sarmada

    Kiwanda kinauzwa

    Nimeelewa
  7. Sarmada

    Kiwanda kinauzwa

    Mbona zipo taarifa kwamba mwezi January 2017 mifuko plastic bags zitakuwa marufuku
  8. Sarmada

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Majibu yanajitosheleza Tusubiri wale waliotoa hoja waje kuanua hoja yao.
  9. Sarmada

    Kung'ang'ania kwenda Kuzikwa kwenu Kijijini ni akili au matope?

    Hili linaendelea sana kwa sababu hisia za tambiko hazijawatoka watu licha ya kudai kuamini imani za mbinguni.
  10. Sarmada

    Mbinu ya kupunguza uzito kwa haraka

    Ni kweli japo ngumu kutekeleza !
Back
Top Bottom