Kiwanda kinauzwa

Mbona zipo taarifa kwamba mwezi January 2017 mifuko plastic bags zitakuwa marufuku
Hamna mkuu sio mwisho wa Mifuko bado tu wanaongeza siku .pia hata Mifuko ikifungiwa bado utaweza kuzalisha vipakti vya miche ya kupandia Na sheet .pia hawataweza kufungia maana hawajapata njia mmbadala
 
Tafuteni Mteja Labda Congo Tanzania Wanapiga Marufuku Plastics
Mkuu si amesema mifuko ya kufungashia miche ya mazao ya miti!!!! Kwanini huwa tunasoma lakini hatuelewi somo husika! serikali haijawahi piga marufuku mifuko ya kufungia miche ya miti tena ukinunua now na kampeni ya Makonda utapiga bao sana na wakuu wa mikoa mingine wakianzisha kampeni kza kuzuia ukuta biashara lazima ilipe
 
Mifuko yote ya plastics itaendelea kuzalishwa kwa muda mfupi hapa nchini lakini haitaruhusiwa kuuzwa hapa nchini.Hata wewe unataka kuuza kwasababu hiyo sema ukweli.

'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
#PH NEWS: Serikali imepiga Marufuku viwanda Kuzalisha Mifuko ya Plastiki kuanzia Januari Mwakani.
.............................................................................................................................

- Akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira mjini hapa jana, Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira, Richard Muyungi amesema wanachosema wabunge hakina tofauti na kilichoandikwa kwenye kanuni zinazoandaliwa na Serikali kwa ajili ya utekelezaji wa uamuzi huo.

“Sisi katika kanuni zetu tumewapa miaka miwili ya kubadilisha teknolojia hiyo kwenda katika uzalishaji wa mifuko inayooza ili kuepuka athari za mazingira,” amesema Muyungi.

- Amesema mwaka 2013 walisitisha kusajili viwanda vya kuzalisha mifuko ya plastiki ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira.

Kuhusu viwanda vyenye malighafi ya kutengenezea mifuko hiyo, mwanasheria katika ofisi hiyo, Isakwisa Mwamukonda amesema kanuni hizo zinawapa nafasi wawekezaji kuzalisha mifuko hiyo hadi zitakapomalizika, lakini hawataruhusiwa kuiuza hapa nchini.
Chanzo : AfyaWelkin.
 
Mkuu hio Ni Mifuko ya plastic Na hapo tunazungumzia Mashine zinazoweza kutoa zaidi ya Mifuko ya plastic. Hizo za recycling unaweza ukatumia ku recycle matirio ya vikopo kama vya mqfuta, blueband Na hivyo unavyoona vitafungiwa.angalia Na Mifuko inayokaa ndani ya salfeti zile Ni design za sheet Na bila zile watu unajua shida gani inatokea
 
Mifuko yote ya plastics itaendelea kuzalishwa kwa muda mfupi hapa nchini lakini haitaruhusiwa kuuzwa hapa nchini.Hata wewe unataka kuuza kwasababu hiyo sema ukweli.

'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
#PH NEWS: Serikali imepiga Marufuku viwanda Kuzalisha Mifuko ya Plastiki kuanzia Januari Mwakani.
.............................................................................................................................

- Akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira mjini hapa jana, Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira, Richard Muyungi amesema wanachosema wabunge hakina tofauti na kilichoandikwa kwenye kanuni zinazoandaliwa na Serikali kwa ajili ya utekelezaji wa uamuzi huo.

“Sisi katika kanuni zetu tumewapa miaka miwili ya kubadilisha teknolojia hiyo kwenda katika uzalishaji wa mifuko inayooza ili kuepuka athari za mazingira,” amesema Muyungi.

- Amesema mwaka 2013 walisitisha kusajili viwanda vya kuzalisha mifuko ya plastiki ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira.

Kuhusu viwanda vyenye malighafi ya kutengenezea mifuko hiyo, mwanasheria katika ofisi hiyo, Isakwisa Mwamukonda amesema kanuni hizo zinawapa nafasi wawekezaji kuzalisha mifuko hiyo hadi zitakapomalizika, lakini hawataruhusiwa kuiuza hapa nchini.
Chanzo : AfyaWelkin.
Ukisikia kiwanda sio mchezo mchezo hizo machine zinaweza kugeuzwa zikafanya kazi nyingi sana...
 
Daah!Mungu mkubwa yaani kitu ambacho wewe unatamani ukipate ufanye project ya millions of Tshs kwa idea ambayo tofauti kwa kutumia mashine fulani,lakini mwenzako anayo hiyo mashine ila idea yako hana na anaamua kuiza.
Ni ushahidi tosha kwamba tuna tofauti katika IQ
Si kwamba marufuku ya mifuko ya plastic inakihusu kweli?
 
Labda lakini ningekua mimi ningetumia kufanya project nyingine tena ni nzuri kupita maelezo maana ubongo ukiwa vizuri huwezi kuhangaika kama una mitambo kama hiyo anayotaka kuuza.

NB;Matatizo ndio kipimo cha akili mitihani ya shule na chuo ni mbwembwe tu
 
Mkuu kilamtu Ana mtazamo tofauti ila hiki nauza sio kwa ajili ya shida ila nikwaajili ya kujiendeleza
 
Tatizo sio mtazamo ila ni IQ huo ndio ukweli,haya malengo yake anayotaka kufika kwakudhani itakua rahisi sana kuyafikia kwakuuza hiyo mitambo anaweza kuyafikia kwakutumia mitambo hiyo hiyo tena akavuka lengo kama TRA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom